Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Trump abadili msimamo wake kuhusiana na  Afghanistan

    Trump abadili msimamo wake kuhusiana na Afghanistan

    Jul 02, 2019 21:58

    Rais wa Marekani amebadili msimamo wake kuhusu matamshi aliyotoa katika mahojiano aliyofanyiwa huko nyuma kuhusu kuondoa wanajeshi wa nchi hiyo huko Afghanistan.

  • Magaidi wa Marekani wauawa baada ya Pompeo kufanya safari ya kificho Afghanistan

    Magaidi wa Marekani wauawa baada ya Pompeo kufanya safari ya kificho Afghanistan

    Jun 26, 2019 02:43

    Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi NATO umetangaza habari ya kuuawa askari magaidi wawili wa Marekani nchini Afghanistan leo Jumatano.

  • Jeshi la Marekani latumia helikopta kuwaokoa magaidi wa Daesh Afghanistan

    Jeshi la Marekani latumia helikopta kuwaokoa magaidi wa Daesh Afghanistan

    Jun 22, 2019 08:47

    Jeshi la Marekani limetumia helikopta zake kuwaokoa wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) nchini Afghanistan, kufuatia operesheni kali ya wapiganaji wa Taliban ya kulitokomeza genge hilo la ukufurishaji mashariki mwa nchi.

  • Bensouda aitaka ICC ifungue upya faili la jinai za askari wa Marekani, Afghanistan

    Bensouda aitaka ICC ifungue upya faili la jinai za askari wa Marekani, Afghanistan

    Jun 08, 2019 22:37

    Fatou Bensouda, Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amewasilisha ombi la kutaka kufunguliwa upya faili la jinai za kivita za askari wa Marekani nchini Afghanistan kati ya mwaka 2003 na 2004.

  • Tahadhari yatolewa juu ya njama za Marekani za kuliweka genge la ISIS mahala pa Taleban Afghanistan

    Tahadhari yatolewa juu ya njama za Marekani za kuliweka genge la ISIS mahala pa Taleban Afghanistan

    May 08, 2019 23:44

    Katibu Mkuu wa Chama cha Kiislamu cha Tibyan nchini Afghanistan ametahadharisha kuhusu njama chafu za serikali ya Marekani za kuliweka kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) mahala pa kundi la Taleban nchini humo.

  • Jumapili, tarehe 28, 2019

    Jumapili, tarehe 28, 2019

    Apr 28, 2019 23:46

    Leo ni Jumapili tarehe 22 Sha'ban 1440 Hijiria, sawa na tarehe 28 Aprili 2019 Miladia.

  • Jeshi la Marekani linawaruhusu wanachama wa Daesh waingie Afghanistan

    Jeshi la Marekani linawaruhusu wanachama wa Daesh waingie Afghanistan

    Apr 23, 2019 09:45

    Ripoti mpya imefichua kuwa, jeshi la Marekani limekuwa likiwaruhusu wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) pamoja na silaha zao kuingia nchini Afghanistan.

  • Radiamali ya Donald Trump kwa uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC

    Radiamali ya Donald Trump kwa uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC

    Apr 14, 2019 03:32

    Rais Donald Trump wa Marekani ambaye alishika hatamu za uongozi wa nchi hiyo Januari mwaka 2017, ameamua kuchukua mkondo wa kupuuza, kukosoa na kujiondoa katika asasi na jumuiya za kimataifa.

  • Huduma ya Iran kwa wakimbizi; kigezo bora cha kuigwa duniani

    Huduma ya Iran kwa wakimbizi; kigezo bora cha kuigwa duniani

    Apr 12, 2019 20:47

    Mkuu wa Ofisi ya Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa UNHCR akiwa safarini katika mji wa Mashhad nchini Iran amesema: "Sera za Iran za kuwahudumia wakimbizi na kuhakikisha kuwa hawana matatizo ya kimaisha na wanapata huduma za afya na elimu ni mfano wa kuigwa duniani kote"

  • Askari watano wa Marekani wauawa, saba wajeruhiwa nchini Afghanistan

    Askari watano wa Marekani wauawa, saba wajeruhiwa nchini Afghanistan

    Mar 23, 2019 03:32

    Msemaji wa kundi la Taliban, Dhabihullah Mujahid amesema kundi hilo limewaangamiza askari watano wa Marekani nchini Afghanistan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS