-
Dakta Zarif: Daima Iran imekuwa ikifuatilia suala la kuisaidia Afghanistan
Mar 17, 2019 02:23Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, daima Iran imekuwa ikifuatilia suala la kuisaidia serikali na wananchi wa Afghanistan.
-
Mafuriko yaua watu 45 Afghanistan na Pakistan
Mar 05, 2019 23:16Kwa akali watu 45 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi za Afghanistan na Pakistan.
-
Mkuu wa Baraza Kuu la Amani: Afghanistan katu haitarudi kwenye enzi za utawala wa Taliban
Mar 02, 2019 22:57Mkuu wa Baraza Kuu la Amani la Afghanistan ametangaza kuwa, nchi hiyo katu haitarudi tena nyuma kwenye enzi za utawala wa Taliban.
-
Raia 20 wa Afghanistan wauawa katika shambulio la askari wa Marekani katika jimbo la Helmand
Feb 12, 2019 00:57Watu 20 wameuliwa katika shambulio lililofanywa wakati wa usiku na askari wa Marekani katika jimbo la Helmand kusini mwa Afghanistan.
-
Mkutano wa Moscow; mwanzo wa mazungumzo jumuishi baina ya Waafghani
Feb 06, 2019 04:36Hamid Karzai, Rais wa zamani wa Afghanistan na viongozi wa baadhi ya vyama vya nchi hiyo wanakutana na kundi la wanamgambo wa Taliban huko Moscow, mji mkuu wa Russia, ikiwa ni hatua moja mbele katika fremu ya kuanza mazungumzo jumuishi baina ya Waafghani.
-
Maveterani wa UK: Tuliamrishwa tuwaue kwa kuwapiga risasi raia Iraq, Afghanistan
Feb 05, 2019 23:13Jeshi la Uingereza liliwaagiza askari wake wawaue kwa kuwafyatulia risasi raia wa Iraq na Afghanistan hata kama hawakuwa wamejizatiti kwa silaha.
-
Iran: Marekani inawahamishia magaidi wa DAESH (ISIS) Afghanistan
Feb 05, 2019 12:29Msaidizi na Mshauri Mwandamizi wa Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ina taarifa za uhakika kuhusu hatua inazochukua Marekani za kuwahamishia magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS) nchini Afghanistan.
-
Imam wa Swala ya Ijumaa Kabul akosoa vikali mkataba wa Usalama kati ya Afghanistan na Marekani
Feb 02, 2019 04:16Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Kabul, mji mkuu wa Afghanistan amekosoa vikali mkataba wa usalama uliowekwa kati ya Marekani na serikali ya nchi hiyo.
-
Utayari wa Rais wa Afghanistan wa kufanya mazungumzo na kundi la wanamgambo wa Taliban
Jan 30, 2019 03:57Rais wa Afganistan kwa mara nyingine tena ametangaza utayarifu wa serikali ya Kabul wa kufanya mazungumzo na kundi la wanamgambo wa Taliban.
-
Kukosolewa kucheleweshwa kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa bunge nchini Afghanistan
Jan 13, 2019 08:46Wawakilishi wa bunge la Afghanistan na waangalizi wa uchaguzi, wamekosoa hatua ya kucheleweshwa kutangazwa matokeo ya uchaguzi huo.