Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Serikali ya Kabul yakaribisha juhudi za Iran za kurejesha amani Afghanistan

    Serikali ya Kabul yakaribisha juhudi za Iran za kurejesha amani Afghanistan

    Jan 02, 2019 23:40

    Serikali ya umoja wa kitaifa ya Afghanistan imekaribisha juhudi zinazofanywa na Iran za kurejesha amani nchini humo.

  • IFJ: Waandishi habari karibu mia moja wameuawa mwaka 2018 duniani

    IFJ: Waandishi habari karibu mia moja wameuawa mwaka 2018 duniani

    Jan 01, 2019 23:20

    Shirikisho la Kimataifa la Waandishi wa Habari (IFJ) limetangaza kuwa, waandishi habari 94 waliuawa mwaka uliomalizika wa 2018 katika maeneo mbalimbali ya dunia.

  • Iran: Ulaya haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani + Video

    Iran: Ulaya haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani + Video

    Dec 31, 2018 11:43

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Ulaya imeonesha kivitendo kuwa haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani.

  • Serikali ya Afghanistan; mwakilishi pekee kisheria wa kufanya mazungumzo na Taliban

    Serikali ya Afghanistan; mwakilishi pekee kisheria wa kufanya mazungumzo na Taliban

    Dec 14, 2018 23:09

    Naibu msemaji wa Rais wa Afghanistan amesema, timu ya mazungumzo kutoka serikalini ndiyo pekee iliyo na ustahiki wa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na kundi la Taliban.

  • Mkutano wa maspika wa mabunge ya nchi sita wamalizika mjini Tehran kwa kutoa taarifa

    Mkutano wa maspika wa mabunge ya nchi sita wamalizika mjini Tehran kwa kutoa taarifa

    Dec 08, 2018 12:07

    Maspika wa mabunge ya nchi sita za Iran, Russia, Uturuki, China, Pakistan na Afghanistan umemalizika leo hapa mjini Tehran kwa taarifa ya pamoja ya kuimarisha uhusiano katika kupambana na ugaidi na kuongeza ushirikiano wao wa kieneo.

  • Jenerali wa jeshi la Marekani akiri: Vita vya Afghanistan vimekwama, maafa ya roho za raia hayavumiliki

    Jenerali wa jeshi la Marekani akiri: Vita vya Afghanistan vimekwama, maafa ya roho za raia hayavumiliki

    Dec 05, 2018 23:16

    Kamanda wa jeshi la Marekani Mashariki ya Kati amekiri kuwa vita vya Afghanistan vimeishia kwenye mkwamo.

  • Wanazuoni Afghanistan waharamisha kilimo cha mpopi na uzalishaji wa dawa za kulevya

    Wanazuoni Afghanistan waharamisha kilimo cha mpopi na uzalishaji wa dawa za kulevya

    Dec 04, 2018 02:11

    Wanazuoni wa Kiislamu wa wilaya 22 za mkoa wa Nangarhar nchini Afghanistan wametangaza kuwa, kilimo cha zao la mpopi, uzalishaji wa dawa za kulevya na utumiaji wake ni haramu na kinyume na sheria za dini ya Kiislamu.

  • Qassemi:

    Qassemi: "Mfumo wa mabadilishano ya fedha baina ya Iran na Ulaya" unafuatiliwa

    Dec 03, 2018 12:09

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Mfumo maalumu kwa ajili ya mabadilishano ya fedha kati ya Iran na Ulaya kwa kifupi SPV ungali unaendelea kufuatiliwa; na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeshabainisha wazi mategemeo iliyonayo katika suala hilo.

  • Indhari ya Unicef kuhusu hali mbaya ya watoto wa Afghanistan

    Indhari ya Unicef kuhusu hali mbaya ya watoto wa Afghanistan

    Nov 28, 2018 04:09

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umeonya kuhusu kuendelea kuwa mbaya hali ya watoto wa Afghanistan, ambao wanakodolewa macho na ghasia na umwagaji damu kila uchao.

  • Afghanistan katika hatari ya kutumbukia kwenye moto wa vita vya kimadhehebu

    Afghanistan katika hatari ya kutumbukia kwenye moto wa vita vya kimadhehebu

    Nov 25, 2018 04:36

    Mlipuko wa bomu uliotokea katika jimbo la Khost kusini mashariki mwa Afghanistan Ijumaa iliyopita ulipelekea karibu watu 30 kupoteza maisha na makumi ya wengine kujeruhiwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS