-
Mafuriko yaua watu wasiopungua 38 Afghanistan
Apr 18, 2016 22:40Watu wasiopungua 38 wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kali iliyonyesha maeneo ya kaskazini mwa Afghanistan.
-
Magaidi wa Taliban waendelea kupata himaya ya nchi za Magharibi
Mar 17, 2016 04:51Balozi wa Uingereza nchini Afghanistan, Dominic Jermey amesema kuwa nchi yake inao uhusiano wa karibu na kundi la kigaidi la Taliban na kwamba ikiwa serikali ya Kabul itahitajia, basi nchi yake inaweza kuutumia uhusiano huo kwa ajili ya kurejesha usalama na amani nchini humo.
-
Mafanikio ya jeshi la Afghanistan dhidi ya kundi la Daesh
Feb 22, 2016 00:10Sambamba na sisitizo la viongozi wa serikali ya Afghanistan katika kukabiliana na magaidi, makamanda wa jeshi wametangaza kusambaratisha ngome kuu ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika wilaya ya Achin mkoani Nangarhar, mashariki mwa nchi hiyo.