-
Rais wa Kenya aamuru kusitishwa harakati zote Nairobi, Mombasa na kaunti kadhaa kwa hofu ya corona
Apr 06, 2020 11:54Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza hatua mpya zinazolenga kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19, ambao hadi sasa umewapata watu 158 na kuchukua roho za wagonjwa sita.
-
Wananchi wakosoa mpango wa kufanyia majaribio chanjo ya corona DRC
Apr 05, 2020 03:42Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekosoa vikali mpango wa kufanyia majaribio chanjo ya corona nchini humo ambao serikali imeafiki.
-
Watu 29 wauawa katika shambulio la kigaidi nchini Nigeria
Apr 04, 2020 03:19Kwa akali watu 29 wameuawa katika shambulio la kigaidi nchini Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa.
-
WHO: Zaidi ya watu 2,600 wameambukizwa virusi vya corona barani Afrika
Mar 29, 2020 04:31Katibu Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema kuwa idadi ya watu walioathiriwa na virusi vya corona barani Afrika imepita watu 2,600.
-
Mawaziri 4 Burkina Faso wapatwa na corona, idadi ya waathirika Afrika yaongezeka
Mar 21, 2020 07:23Mawaziri wanne wa serikali ya Burkina Faso wamepatwa na virusi vya corona huku kesi za maambukizi ya virusi hivyo barani Afrika zikiendelea kuongezeka.
-
Burkina Faso yaripoti kifo cha kwanza cha Corona 'Sub-Sahara', virusi hivyo vyaua karibu 500 Italia ndani ya saa 24
Mar 19, 2020 00:08Burkina Faso imetangaza kifo cha kwanza cha mtu aliyekuwa na ugonjwa wa Corona nchini humo, hii ikiwa ni kesi ya kwanza ya kifo kilichotokana na ugonjwa huo kuripotiwa katika eneo la chini ya jangwa la Sahara barani Afrika.
-
Kirusi cha corona chazidi kusambaa duniani kwa kutia mguu Magharibi mwa Afrika
Feb 28, 2020 04:49Mtu wa kwanza aliye na kirusi cha corona katika eneo la chini ya jangwa la Sahara Magharibi mwa Afrika amegunduliwa nchini Nigeria.
-
Rais wa Togo ashinda kwa kishindo katika uchaguzi uliokumbwa na maandamano ya wapinzani
Feb 24, 2020 08:13Rais Faure Gnassingbe wa Togo ametangazwa mshindi wa asilimia 72 ya kura zilizopigwa katika uchaguzi uliokumbwa na maandamano ya wapinzani waliomtaka ajiuzulu.
-
Kupingwa mpango wa Muamala wa Karne na viongozi wa Afrika
Feb 11, 2020 23:26Tangu mpango wa Marekanii uliopewa jina la Muamala wa Karne ulipozinduliwa na Rais Donald Trump wa Marekani, mataifa na asasi mbalimbali za kieneo na kimataifa zimetangaza wazi kuupinga na kuukataa mpango huo na kuutaja kama mpango wa kidhalimu.
-
Ramaphosa: Mapendekezo ya Muamala wa Karne yanafanana na ya 'apartheid'
Feb 10, 2020 09:11Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema mapendekezo ya Rais Donald Trump kwenye 'Muamala wa Karne' yanashabihiana na mfumo wa kipindi cha utawala wa ubaguzi wa rangi (apartheid) katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.