-
Ramaphosa: Tusiruhusu vita vya niaba barani Afrika
Feb 10, 2020 04:04Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika amesema kuwa, Waafrika hawapasi kuruhusu bara lao liwe medani ya vita vinavyopiganwa kwa niaba ya pande nyingine.
-
Umoja wa Afrika wapinga Muamala wa Karne uliobuniwa na Marekani
Feb 09, 2020 23:38Mkuu wa Kamisheni ya Afrika amesema kuwa, mpango wa Muamala wa Karne uko dhidi ya Wapalestina na unakinzana na sheria za kimataifa.
-
António Guterres ataka kuhitimishwa mapigano ya silaha barani Afrika
Feb 09, 2020 23:38António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa kuhitimishwa mapigano ya silaha barani Afrika, ni moja ya masuala muhimu na ya msingi katika kulindwa haki za binaadamu.
-
Waafrika milioni 239 wanakabiliwa na njaa, utapiamlo
Feb 09, 2020 08:44Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa FAO Marina Helena Semedo amesema watu takriban milioni 239 wa Afrika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara wanakabiliwa na tatizo la njaa na utapiamlo.
-
Rais wa Kenya aonya kuhusu ushindani wa Marekani na China barani Afrika
Feb 06, 2020 08:46Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametahadharisha kuhusiana na ushindani wa Marekani na China barani Afrika na kubainisha kwamba, madola ya kigeni yanazidisha mgawanyiko na mivutano katika bara hilo.
-
Bara la Afrika katika juhudi za kukabiliana na virusi vya Corona
Feb 06, 2020 04:20Ripoti za mashirika ya kimataifa zinasema kuwa nchi za bara la Afrika zimezidisha hatua za kiafya kwa ajili ya kukabiliana na maambukizo ya virusi vya Corona na namna ya kuzuia ugonjwa huo.
-
Shambulio la nzige Afrika, Somalia yatangaza janga la taifa
Feb 02, 2020 23:37Somalia imekuwa nchi ya kwanza ya Pembe ya Afrika kutangaza kuwa, wimbi la nzige waliovamia nchi hiyo ni janga na kwamba kupambana na janga hilo ni jambo la dharura kitaifa.
-
Ufaransa yaendea kuingilia mambo ya ndani ya Afrika, yatuma mamia ya askari eneo la Sahel
Feb 02, 2020 10:16Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa ametangaza kuwa nchi hiyo itatuma wanajeshi wengine 600 katika eneo la Sahel barani Afrika, hatua ambayo imetajwa na wafuatiliaji wa mambo kuwa ni katika kuendeleza sera za mkoloni huyo wa zamani za kuzidisha ushawishi na satua yake barani humo.
-
Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inalenga kupanua wigo wa makabiliano na Russia, China
Jan 29, 2020 03:10Katika zama za utawala wa Rais Donlad Trump, Marekani imekithirisha makabiliano na Russia na China ambazo ni washindani wake wakuu katika uga wa kimataifa. Sera hiyo ya utawala wa Trump ilitiliwa mkazo katika Waraka wa Kistratijia wa Usalama wa Taifa la Marekani mwaka 2018.
-
Museveni akiongea kwa hasira: Haikupasa nchi za Kiafrika ziruhusu nchi za Magharibi ziishambulie Libya
Jan 23, 2020 04:47Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda amesema, haikupasa nchi za Kiafrika ziruhusu nchi za Magharibi ziishambulie kijeshi Libya na kupelekea kuuawa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo Kanali Muammar Gaddafi.