Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Wacomoro washiriki uchaguzi wa Bunge uliosusiwa na vyama vya upinzani

    Wacomoro washiriki uchaguzi wa Bunge uliosusiwa na vyama vya upinzani

    Jan 19, 2020 10:51

    Wananchi wa visiwa vya Comoro leo Jumapili wameshiriki katika awamu ya kwanza ya zoezi la uchaguzi wa Bunge uliosusiwa na vyama vya upinzani.

  • Watu milioni 45 wakabiliwa na njaa ambayo haijawahi kushuhudiwa kusini mwa Afrika

    Watu milioni 45 wakabiliwa na njaa ambayo haijawahi kushuhudiwa kusini mwa Afrika

    Jan 18, 2020 01:28

    Watu zaidi ya milioni 45 wengi wakiwa wanawake na watoto katika nchi 16 za Kusini mwa Afrika wanakabiliwa na hali mbaya ya kutokuwa na uhakika wa chakula kufuatia kujirudia kwa hali ya ukame, kusambaa kwa mafuriko na kuyumba kwa uchumi.

  • Ghana: Tuko tayari kujiunga na mfumo wa sarafu moja ya eco ya nchi za Afrika Magharibi

    Ghana: Tuko tayari kujiunga na mfumo wa sarafu moja ya eco ya nchi za Afrika Magharibi

    Dec 30, 2019 23:16

    Ghana imetangaza kuwa, imeamua kujiunga na Muungano wa Kiuchumi na Kifedha wa Afrika Magharibi (UEMOA) wa kutumia sarafu moja itakayojulikana kama eco.

  • Ufaransa iliua makumi ya maelefu ya raia wa Cameroon katika zama za ukoloni

    Ufaransa iliua makumi ya maelefu ya raia wa Cameroon katika zama za ukoloni

    Dec 28, 2019 23:22

    Askari wa utawala wa kikoloni wa Ufaransa waliua makumi ya maelfu ya raia wa Cameroon katika zama za ukoloni wake katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.

  • Kuongezeka harakati za makundi ya kigaidi magharibi mwa Afrika

    Kuongezeka harakati za makundi ya kigaidi magharibi mwa Afrika

    Dec 28, 2019 23:22

    Makundi ya kigaidi ya Boko Haramu na Daesh yamezidisha harakati zao katika eneo la magharibi mwa Afrika.

  • Uamuzi wa nchi 8 za magharibi mwa Afrika wa kuacha kutumia sarafu ya Ufaransa

    Uamuzi wa nchi 8 za magharibi mwa Afrika wa kuacha kutumia sarafu ya Ufaransa

    Dec 24, 2019 23:26

    Baada ya mashauriano yaliyodumu kwa muda mrefu, hatimaye nchi nane kati ya 15 wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) zimejitoa katika muungano wa sarafu ya pamoja ya Ufaransa (Franc) na kutangaza kwamba, kuanzia sasa zitaanza kufanya miamala yao yote kwa kutumia sarafu ya Eco ili zisalimike madhara ya kifedha yaliyokuwa yakisababishwa na sarafu ya Franc.

  • Kikao cha 33 cha viongozi wa Umoja wa Afrika kujadili 'kuzima milio ya risasi'

    Kikao cha 33 cha viongozi wa Umoja wa Afrika kujadili 'kuzima milio ya risasi'

    Dec 24, 2019 23:25

    Mkutano wa 33 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika unatarajiwa kufanyika kuanzia Januari 21 hadi Februari 10 mwakani kwenye makao makuu ya Umoja huo mjini Addis Ababa, Ethiopia, ukiwa na kauli mbiu ya "Kuzima Milio ya Risasi: Kuanzisha Mazingira Mazuri kwa ajili ya Maendeleo ya Afrika."

  • Nchi 8 za magharibi mwa Afrika zaachana na matumizi ya sarafu ya Ufaransa

    Nchi 8 za magharibi mwa Afrika zaachana na matumizi ya sarafu ya Ufaransa

    Dec 23, 2019 10:25

    Nchi nane wanachama wa Jumuiya ya Uchumi ya Magharibi mwa Afrika (Ecowas) zimejitoa katika muungano wa sarafu ya pamoja ya Ufaransa (Franc).

  • Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akiri, ukoloni umekufa

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akiri, ukoloni umekufa

    Dec 23, 2019 09:17

    Mienendo ya nchi za Magharibi kuhusiana na bara la Afrika daima uimekuwa ya kikoloni na kuwanyonya watu wa bara hilo na wakati huo huo kukandamiza harakati za wapigania uhuru.

  • Ulimwengu wa Michezo, Dec 23

    Ulimwengu wa Michezo, Dec 23

    Dec 23, 2019 03:51

    Ufuatao ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita kitaifa na kimataifa....

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS