Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Amali za Hija

  • Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi kwa Mahujaji: Sera za Marekani ni kuchochea vita na kuwaulisha Waislamu wenyewe kwa wenyewe

    Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi kwa Mahujaji: Sera za Marekani ni kuchochea vita na kuwaulisha Waislamu wenyewe kwa wenyewe

    Aug 20, 2018 08:15

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika ujumbe wake kwa Mahujaji kwamba sera za Marekani ni kuchochea vita baina ya Waislamu na akasisitiza kwamba: inapasa kuzizima sera hizo za kishetani kwa umakini na kuwa macho na kwamba Hija na kujibari na washirikina vinawezesha kupatikana umakini huo.

  • Hija na Visa Vyenye Ibra

    Hija na Visa Vyenye Ibra

    Aug 19, 2018 12:14

    Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi popote pale mlipo. Tuko kwenye msimu wa ibada tukufu ya Hija. Kwa mnasaba huo Radio Tehran imekuandalieni kipindi hiki maalumu cha Hija na Visa Vyenye Ibra. Kisa chetu cha kwanza kitahusu Hija ya Kudumu Daima Dawamu.

  • Gazeti la Saudia: Mahujaji wa Qatar wachague Hijja au kuuangusha utawala wa nchi yao

    Gazeti la Saudia: Mahujaji wa Qatar wachague Hijja au kuuangusha utawala wa nchi yao

    Aug 15, 2018 07:30

    Gazeti la Okaz la nchini Saudi Arabia limewataka mahujaji wa Qatar kuchagua moja kati ya mawili, ima kufanya ibada ya Hijja na kuunga mkono utawala wa Al Thani na kwamba iwapo wanataka kutekeleza ibada hiyo, basi wanatakiwa kwanza kuuondoa madarakani utawala huo.

  • Wairani zaidi ya elfu 80 wameelekea Makka kwa ajili ya ibada ya Hija

    Wairani zaidi ya elfu 80 wameelekea Makka kwa ajili ya ibada ya Hija

    Aug 14, 2018 09:20

    Afisa wa msafara wa ibada ya Hija wa Iran amesema kuwa hadi kufikia Jumatatu ya jana karibu Wairani elfu 80 walikuwa wameelekea katika miji mitakatifu ya Makka na Madina kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija.

  • Mkuu wa Mahujaji wa Iran awataka Waislamu kutumia fursa ya Hija kuweka pembeni tofauti zao

    Mkuu wa Mahujaji wa Iran awataka Waislamu kutumia fursa ya Hija kuweka pembeni tofauti zao

    Aug 13, 2018 14:53

    Mkuu wa mahujaji wa Iran amesema kuwa, ibada ya Hija ni fursa nzuri sana kwa Waislamu katika nyuga tofauti na amezitaka nchi za eneo hili kutumia vizuri fursa ya Hija kuweka pembeni hitilafu zao ndogodongo na kuungana katika kuurejeshea heshima na utukufu wake umma mzima wa Kiislamu.

  • Waislamu wa Canada waandamana kupinga hatua ya Saudia ya kuwazuia kwenda kuhiji Makka

    Waislamu wa Canada waandamana kupinga hatua ya Saudia ya kuwazuia kwenda kuhiji Makka

    Aug 12, 2018 14:48

    Waislamu nchini Canada wamefanya maandamano wakipinga siasa za utawala wa kifalme wa Saudi Arabia za kuwazuia kwenda kutekeleza ibada ya Hija katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.

  • Saudia yashitakiwa UN kwa kuingiza siasa katika ibada ya Hija

    Saudia yashitakiwa UN kwa kuingiza siasa katika ibada ya Hija

    Jul 18, 2018 02:31

    Kamati ya Kimataifa ya Kusimamia Haram Mbili za Makka na Madina imewasilisha barua mbili tofauti kwa Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa na Kamisheni ya Kidini na Uhuru wa Kujieleza ya Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya, ikiishitaki Saudi Arabia kwa kuingiza masuala ya siasa katika ibada ya Hija sambamba na kuweka mipaka ya uhuru wa kidini.

  • Ibada ya Kimaanawi na kisiasa ya Hija kwa mtazamo wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Ibada ya Kimaanawi na kisiasa ya Hija kwa mtazamo wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Jul 17, 2018 07:49

    Wasimamiaji na wafanyakazi wa Idara ya Masuala ya Ibada ya Hija jana asubuhi walikutana na Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kukaribia ibada hiyo na kuanza mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu kuelekea katika ardhi ya wahyi.

  • Qatar kuiburuza Saudia mahakamani kwa tuhuma za kuingiza siasa katika ibada ya Hijah

    Qatar kuiburuza Saudia mahakamani kwa tuhuma za kuingiza siasa katika ibada ya Hijah

    Jul 04, 2018 04:24

    Serikali ya Qatar na katika mfululizo wa kufuatilia masuala ya kisheria na kimataifa dhidi ya nchi za Saudi Arabia, Imarati, Bahrain na Misri, imetangaza kwamba imefungua mashitaka dhidi ya Riyadh kutokana na serikali ya nchi hiyo kuingiza siasa katika ibada ya Hijjah.

  • Wairani 85,200 kwenda kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu

    Wairani 85,200 kwenda kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu

    Jun 28, 2018 03:48

    Wairani 85,200 wanatazamiwa kwenda nchini Saudi Arabia kutekeleza ibada tukufu ya Hija mwaka huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS