Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Amali za Hija

  • Qatar kuiburuza Saudia mahakamani kwa tuhuma za kuingiza siasa katika ibada ya Hijah

    Qatar kuiburuza Saudia mahakamani kwa tuhuma za kuingiza siasa katika ibada ya Hijah

    Jul 03, 2018 23:54

    Serikali ya Qatar na katika mfululizo wa kufuatilia masuala ya kisheria na kimataifa dhidi ya nchi za Saudi Arabia, Imarati, Bahrain na Misri, imetangaza kwamba imefungua mashitaka dhidi ya Riyadh kutokana na serikali ya nchi hiyo kuingiza siasa katika ibada ya Hijjah.

  • Wairani 85,200 kwenda kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu

    Wairani 85,200 kwenda kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu

    Jun 27, 2018 23:18

    Wairani 85,200 wanatazamiwa kwenda nchini Saudi Arabia kutekeleza ibada tukufu ya Hija mwaka huu.

  • Syria: Riyadh ingali inawazuia raia wetu kwenda kufanya Hija

    Syria: Riyadh ingali inawazuia raia wetu kwenda kufanya Hija

    Jun 23, 2018 02:55

    Serikali ya Syria imeukosoa vikali utawala wa Aal-Saud kwa kuingiza siasa katika amali tukufu ya Hija, ambapo Riyadh imewazuia raia wa Syria kwenda kutekeleza ibada hiyo kwa mwaka wa saba mfululizo.

  • Jumuiya ya Maimamu Tunisia: Saudia inatumia mapato ya Hija kushambulia nchi za Waislamu

    Jumuiya ya Maimamu Tunisia: Saudia inatumia mapato ya Hija kushambulia nchi za Waislamu

    Jun 21, 2018 23:16

    Jumuiya ya Maimamu wa Swala za Jamaa nchini Tunisia imetoa taarifa ikisisitiza kuwa Saudi Arabia inatumia mapato yanayotokana na ibada ya Hija kwa ajili ya kuzishambulia nchi nyingine za Kiislamu na imemtaka Mufti Mkuu wa nchi hiyo kusimamisha safari za kwenda kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu huko Saudia.

  • Qatar: Saudia iache kuingiza masuala ya dini katika mgogoro wa kisiasa

    Qatar: Saudia iache kuingiza masuala ya dini katika mgogoro wa kisiasa

    Jun 06, 2018 09:50

    Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu nchini Qatar sambamba na kuelezea mwenendo wa vizuizi vinavyofanywa na Saudia kwa ajili ya kuwazuia raia wa nchi hiyo kuweza kushiriki ibada ya hija, imeitaka Riyadh kuacha kuyaingiza masuala ya kidini katika mgogoro wa kisiasa wa pande mbili.

  • Wairani 90,000 kutelekeza ibada ya Hija mwaka huu

    Wairani 90,000 kutelekeza ibada ya Hija mwaka huu

    Feb 19, 2018 12:07

    Mwakilishi wa Faqihi Mtawala na Msimamizi wa Mahujaji Wairani amesema: "Mwaka huu Mahujaji Wairani katika Baitullah al Haram watakuwa ni 90,000."

  • Mahujaji wa Nyumba ya Allah watoa ujumbe amani kwa walimwengu wote

    Mahujaji wa Nyumba ya Allah watoa ujumbe amani kwa walimwengu wote

    Sep 04, 2017 11:57

    Shirika la habari la IRNA limemnukuu Amir wa Makkah akisema kuwa, mwaka huu zaidi ya mahujaji milioni mbili wameshiriki katika ibada za jangwa la Arafa na hao ni wawakilishi wa Waislamu zaidi ya bilioni moja na milioni 800 ambao wamewafikishia walimwengu wote ujumbe wa amani na kuishi pamoja kwa usalama.

  • Hija, njia muhimu zaidi ya kuongezea pato la serikali ya Saudi Arabia

    Hija, njia muhimu zaidi ya kuongezea pato la serikali ya Saudi Arabia

    Sep 02, 2017 22:03

    Kutokana na kupungua mapato ya serikali ya Saudi Arabia yanayotokana na mafuta kufuatia kushuka bei ya bidhaa hiyo katika soko ya dunia, Hija imekuwa njia muhimu zaidi mbadala ya kuongezea pato la nchi hiyo kutokana na mabilioni kadhaa ya dola inazochangia kila mwaka katika bajeti ya nchi hiyo.

  • Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Allah waendelea na amali za Hija

    Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Allah waendelea na amali za Hija

    Sep 02, 2017 10:32

    Zaidi ya mahujaji milioni moja wanaendelea na amali tukufu za Hija katika mji mtakatifu wa Makkah nchini Saudi Arabia.

  • Mamia ya mahujaji wanusurika na ajali ya moto Makkah, Saudia

    Mamia ya mahujaji wanusurika na ajali ya moto Makkah, Saudia

    Aug 22, 2017 03:37

    Mamia ya mahujaji wamenusurika katika ajali ya moto uliotokea katika jengo la ghorofa 15 mjini Makkah, Saudi Arabia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS