Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Amali za Hija

  • Saudia yafungua mpaka wa ardhini na Qatar; Doha yataka Hija isitumiwe kisiasa

    Saudia yafungua mpaka wa ardhini na Qatar; Doha yataka Hija isitumiwe kisiasa

    Aug 17, 2017 10:00

    Saudi Arabia imefungua mpaka wake wa pamoja wa ardhini na Qatar kuruhusu mahujaji kutoka nchi hiyo ndogo ya Kiarabu kuelekea kwenye ardhi tukufu za Makka na Madina kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija ya mwaka huu.

  • Syria nayo yaikosoa Saudia kwa kuingiza siasa katika suala la Hijja

    Syria nayo yaikosoa Saudia kwa kuingiza siasa katika suala la Hijja

    Aug 01, 2017 09:19

    Serikali ya Syria imelalamikia vikali uendeshaji wa kisiasa wa ibada tukufu ya Hijja unaofanywa na utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia.

  • Qatar: Saudia inaendesha kisiasa Ibada ya Hijja

    Qatar: Saudia inaendesha kisiasa Ibada ya Hijja

    Jul 30, 2017 10:43

    Kamisheni Taifa ya Haki za Binadamu nchini Qatar imelalamikia vikali uendeshaji wa kisiasa wa ibada tukufu ya Hijja unaofanywa na utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia.

  • Saudia yakubali masharti ya Iran kuhusu ibada ya Hijja

    Saudia yakubali masharti ya Iran kuhusu ibada ya Hijja

    Mar 03, 2017 04:42

    Saudi Arabia imekubali mapendekezo yalitolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kulindwa mahujaji wa taifa hili katika ibada ya Hijja.

  • Mufti wa Algeria aikosoa vikali Saudia kwa kuongeza gharama za Hija, Umrah

    Mufti wa Algeria aikosoa vikali Saudia kwa kuongeza gharama za Hija, Umrah

    Dec 09, 2016 23:16

    Mufti Mkuu wa Algeria ameukosoa vikali utawala wa Saudia Arabia kwa vitendo vyake vya kuwazuia Waislamu kutekekeleza ibada ya faradhi ya Hija na pia Umrah

  • Saudia yazuia Wasyria kuhiji kwa mwaka wa tano mfululizo

    Saudia yazuia Wasyria kuhiji kwa mwaka wa tano mfululizo

    Sep 12, 2016 02:12

    Utawala wa ukoo wa Aal Saud kwa mwaka wa tano mfululizo umewazuia Mahujaji kutoka Syria kuingia Saudi Arabia kutekeleza Ibada ya Hija.

  • Rais Rouhani awatumia viongozi wa nchi za Kiislamu salamu za Idi

    Rais Rouhani awatumia viongozi wa nchi za Kiislamu salamu za Idi

    Sep 11, 2016 22:06

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia viongozi wa nchi za Kiislamu duniani salamu za kheri na fanaka kwa munasaba wa siku kuu ya Idul Adha.

  • Siku ya Arafa, fursa kwa ajili ya dua na kuomba maghufira

    Siku ya Arafa, fursa kwa ajili ya dua na kuomba maghufira

    Sep 08, 2016 15:10

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa kuzungumzia siku ya Arafa yaani mwezi Tisa Mfunguo Tatu Dhulhija. Makala yetu tumeipa jina la Siku ya Arafa, fursa kwa ajili ya dua na kuomba maghufira. Ni matumaini yangu mtakuwa nami hadi mwisho wa kipindi.

  • Ujumbe kwa Mahujaji wa Nyumba tukufu ya Allah (1437 Hijria) + SAUTI

    Ujumbe kwa Mahujaji wa Nyumba tukufu ya Allah (1437 Hijria) + SAUTI

    Sep 05, 2016 05:55

    Kwa jina la Allah, Mwingi wa rehma Mwenye kurehemu Na hamdu zote ni za Allah Mola wa viumbe wote. Na rehma na amani zimshukie bwana wetu Muhammad na Aali zake watukufu na masahaba zake wema na wote waliowafuata wao kwa mema mpaka Siku ya Malipo

  • Pakistan: Saudia ikabidhi usimamizi wa Hija kwa jamii ya Waislamu

    Pakistan: Saudia ikabidhi usimamizi wa Hija kwa jamii ya Waislamu

    Sep 06, 2016 10:46

    Naibu Spika wa Bunge la Pakistan katika jimbo la Sindh ameitaka serikali ya Saudi Arabia ikabidhi usimamizi wa ibada ya Hija kwa jamii ya Waislamu duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS