-
Saudia yafanya njama ya kuwakwamisha Wayemen wasiende Hija tena kwa mwaka wa pili
Aug 02, 2016 15:54Wizara ya Waqfu ya Yemen imetangaza kuwa Saudi Arabia inafanya njama za kuwakwamisha kwa mwaka wa pili mfululizo mahujaji kutoka Yemen wasiende nchini humo kutekeleza ibada ya Hija.
-
Kuimarishwa udiplomasia wa Hija baina ya nchi za Kiislamu
Jul 21, 2016 11:02Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara za Kidini Iran amesisitiza kuhusu Diplomasia ya Hija baina ya nchi zote za Kiislamu hasa Iran na Pakistan.
-
18 Wajeruhiwa katika msongamano mkubwa Makka
Jul 02, 2016 13:29Waislamu 18 waliokuwa katika Ibada ya Umrah wamejeruhiwa kufuatia msongamano mkubwa katika mji mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia, miezi sita tu baad aya maelfu kupoteza maisha katika Ibada ya Hija mwaka jana.
-
Waislamu Uganda wataka Hija isimamiwe kimataifa
Jun 14, 2016 08:32Waislamu nchini Uganda wamehimiza kusimamiwa kimataifa amali ya Hija hasa kutokana na vifo vingi vilivyotokea katika msimu wa mwaka jana wa Hija. Mwandishi wa Radio Tehran ametuandalia ripoti ifuatayo kutoka Kampala. Gonga kwenye picha kusikiliza ripoti hiyo
-
Saudia imechukua hatua dhidi ya dini kuwazuia Mahujaji Wairani mwaka huu
Jun 13, 2016 07:11Mkuu wa Chuo cha Kiislamu cha Thaqalyn mjini Kano, kaskazni mwa Nigeria amesema hatua ya utawala wa Saudia kuwazuia mahujaji Wairani mwaka huu ni kitendo kilicho dhidi ya dini na mantiki.
-
Nchi za Kiislamu zibadili usimamizi wa Hija
Jun 06, 2016 03:49Mkuu wa Shirika la Hija na Ziara za Kidini la Iran amesema kuna udharura wa nchi za Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu kuanzisha mkakati wa kubadilisha muundo wa usimamizi wa Ibada ya Hija na kuzuia mwenendo wa ubaguzi na utumiaji mabavu wa Saudi Arabia kuhusu ibada hiyo ya kila mwaka.
-
Baraza la Kimataifa la Ahlul Bayt (as): Hatua ya Aal Saud ni ya kufuru
May 31, 2016 15:35Baraza la Kimataifa la Ahlul Bayt (as) limetoa taarifa na kutangaza kuwa utawala wa Aal Saud umefanya kitendo cha kufuru kuwazuia mahujaji wa Kiirani wasifanye safari ya kwenda kutekeleza ibada ya Hija.
-
Saudia ibebe lawama za kushindwa Wairani kwenda Hija mwaka huu
May 31, 2016 07:46Mkuu wa Idara ya Ghuba ya Uajemi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, ukoo tawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia ndio unaopaswa kubeba lawama za kushindwa Waislamu wa Iran kwenda Hija mwaka huu.
-
Shamkhani: Aal Saudi wamewazuia Wairani kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu
May 31, 2016 04:18Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ukoo wa Aal Saud ndio uliowazuia Wairani wasitekeleze amali za Hija yenye izza na heshima.
-
Rouhani: Saudia inatumikia maslahi ya Israel kwa kuwazuia Mahujaji Wairani
May 31, 2016 03:42Rais Hassan Rouhani wa Iran amelaani hatua ya Saudia kuwazuia Wairani kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu na kusema hatua hiyo ni kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.