Waislamu Uganda wataka Hija isimamiwe kimataifa
Jun 14, 2016 08:32 UTC
Waislamu nchini Uganda wamehimiza kusimamiwa kimataifa amali ya Hija hasa kutokana na vifo vingi vilivyotokea katika msimu wa mwaka jana wa Hija. Mwandishi wa Radio Tehran ametuandalia ripoti ifuatayo kutoka Kampala. Gonga kwenye picha kusikiliza ripoti hiyo
Tags