-
Iran: Tunaichukulia Hija kuwa ni nembo na dhihirisho la umoja na mshikamano
Jun 18, 2024 10:51Balozi wa Iran nchini Saudi Arabia amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inaichukulia ibada ya Hija kuwa ni kielelezo na mhimili wa umoja na mshikamano katika safu za Waislamu na ni fursa adhimu ya kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu na kufikiria kwa pamoja njia za kutatua masuala ya Waislamu.
-
Mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu wasimama Arafa, kesho ni Mina
Jun 27, 2023 13:22Mmilioni ya Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu, Al Kaaba, leo wanasimama katika uwanja wa Arafa katika kilele cha ibada tukufu ya Hijja.
-
Mahujaji zaidi ya milioni moja wawasili Saudia kwa ajili ya Hija
Jun 18, 2023 07:48Waziri wa Hija na Umra wa Saudi Arabia amesema nchi hiyo imepokea mahujaji zaidi ya milioni moja, wageni wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu walioenda kutekeleza ibada ya Hija ya mwaka huu.
-
Saudia yatoa miongozo kwa mahujaji, imo marufuku ya kupiga picha maeneo matakatifu
May 27, 2023 10:49Wizara ya Hija na Umra ya Saudi Arabia imetoa taarifa ya miongozo kwa mahujaji wa mwaka huu wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu.
-
Umuhimu wa kisiasa wa ibada ya Hija katika maneno ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
May 18, 2023 09:20Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei asubuhi ya jana Jumatano (tarehe 17 Mei) alieleza baadhi ya vipengee umuhimu vya kisiasa vya ibada ya Hija katika kikao chake na maafisa, wasimamizi na baadhi ya Wairani waliojiandikisha kushiriki ibada ya Hija mwaka huu.
-
Polisi wa kike wasimamia ibada ya Hija na Umra kwa mara ya kwanza nchini Saudi Arabia
Apr 03, 2023 11:50Kwa mara ya kwanza nchini Saudi Arabia, doria za polisi zinafanyika katika ibada ya Hija na Umra kwenye mwezi wa Ramadhani kwa kushirikisha askari usalama wa kike.
-
Mahujaji wa Kiirani walaani kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Jul 09, 2022 09:45Ummati mkubwa wa Mahujaji wa Kiirani sambamba na kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina, lakini umekosoa pia njama ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Saudi Arabia yaruhusu tena ibada ya Umra kwa masharti
Mar 12, 2022 00:04Serikali ya Saudi Arabia imewaruhusu Waislamu ambao hawajachanjwa dhidi ya virusi vya Corona, au ambao hawajakamilisha chanjo hiyo kufanya ibada ya Umra na kuingia Msikiti Mtakatifu wa Makka na Msikiti wa Mtume mjini Madina.
-
Ansarullah: Inasikitisha kuona Saudia ikiwazuia Waislamu kutekeleza ibada ya Hija
Jul 20, 2021 02:58Katibu Mkuu wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amesema inasikitisha kuona Saudi Arabia ikiwazuia Waislamu kutoka maeneo mengine ya dunia kutekeleza ibada ya Hija kwa mwaka wa pili mfululizo.
-
Ibada ya Hija mwaka huu yaanza chini ya sheria kali za kukabiliana na UVIKO-19
Jul 18, 2021 03:07Ibada tukufu ya Hija ilianza rasmi jana nchini Saudi Arabia chini ya usimamizi na sheria kali za kukabiliana na maambukizo ya virusi vya Corona huku idadi ya Mahujaji ikiwa chache mno.