-
Kwa mwaka wa pili mfululizo, Saudia yazuia ibada ya Hija kwa Waislamu kutoka nje ya nchi kwa sababu ya janga la corona
Jun 13, 2021 03:21Wizara ya Hija na Umra ya Saudi Arabia imetangaza kuwa, ibada ya Hija mwaka huu itafanyika kwa kushirikisha raia na wageni wanaoishi nchini humo wasiozidi elfu 60.
-
Saudia yashurutisha kuwa na chanjo ya corona kwa wanaotaka kufanya Umra
Apr 06, 2021 07:37Wizara ya Hija ya Saudi Arabia imetangaza kuwa, watu waliopewa chanjo ya corona ndio watakaoruhusiwa kufanya ibada ya Umra katika mwezi mtukufu wa Ramadhani na kutekeleza ibada ya Swala katika Msikiti wa Makka.
-
Saudi Arabia yaruhusu Umra kwa mahujaji wa kigeni
Nov 01, 2020 06:35Serikali ya Saudi Arabia imewaruhusu mahujaji kutoka nje kuingia nchini humo kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Umra baada ya kufungwa mwezi Machi mwaka huu kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Mahujaji waanza kuelea Mina wakijitayarisha kwa kisimamo cha Arafa
Aug 09, 2019 08:12Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu, al Kaaba leo wameelekea Mina kwa ajili ya kutekeleza ibada ya siku ya Tarwiya hiyo kesho tarehe 8 Dhilhaji katika eneo hilo tukufu.
-
Saudia yapinga mpango wa Hija "kuendeshwa kimataifa".
Jul 31, 2019 01:16Mshauri wa Mfalme wa Saudi Arabia amepinga hatua yoyote ya kuanzisha kamati ya kimataifa kwa ajili ya uendeshaji masuala ya ibada ya Hija.
-
Wapalestina milioni tatu walizuiwa kufanya ibada ya Hija kupitia ushirikiano wa Israel na Saudia
Nov 10, 2018 08:09Ikiwa ni katika hatua yake ya kupata ridhaa ya utawala haramu wa Kizayuni, utawala wa Saudi Arabia uliwanyima Wapalestina milioni tatu vibali vya kuingia nchi hiyo kwa ajili ya kufanya ibada ya Hija.
-
Saudia inatumia vibaya fedha zinazotokana na ibada ya Hija
Aug 25, 2018 13:46Kamati ya Kimataifa ya Uangalizi wa Usimamizi wa Saudia juu ya Ibada ya Hija, imesema kuwa, utawala wa Aal-Saud unatumia vibaya pato linalotokana na ibada ya Hija.
-
Waislamu Kenya watakiwa kutofuata mwezi wa Saudia bali kufuata mwandamo wa kwao + Sauti
Aug 22, 2018 17:58Waislamu nchini Kenya wametakiwa kuzingatia mwezi mwandamo katika ukanda wa Afrika Mashariki ili kufanikisha maamuzi ya kiibada kama vile funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, Idul Fitr na Idul Adh'ha na kuacha kufuata Saudi Arabia au mwezi wa kimataifa. Seifullah Murtadha ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu 1439 Hijria + Sauti
Aug 20, 2018 08:45Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika ujumbe wake uliosomwa leo kwa Mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu kwamba sera za Marekani ni kuchochea vita baina ya Waislamu na akasisitiza kwamba: inapasa kuzizima sera hizo za kishetani kwa umakini na kuwa macho na kwamba Hija na kujibari na washirikina vinawezesha kupatikana umakini huo.
-
Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi kwa Mahujaji: Sera za Marekani ni kuchochea vita na kuwaulisha Waislamu wenyewe kwa wenyewe
Aug 20, 2018 08:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika ujumbe wake kwa Mahujaji kwamba sera za Marekani ni kuchochea vita baina ya Waislamu na akasisitiza kwamba: inapasa kuzizima sera hizo za kishetani kwa umakini na kuwa macho na kwamba Hija na kujibari na washirikina vinawezesha kupatikana umakini huo.