-
Mamilioni ya Wairani katika maombolezo ya Imam Hussein AS ya Siku ya Ashura
Aug 08, 2022 11:49Mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo wameshiriki kwenye vikao vya maombolezo ya kukumbuka dhulma waliotendewa mashahidi wa Karbala katika Siku ya Ashura.
-
Waislamu Iran, Nigeria waungana na wenzao kote duniani katika maombolezo ya Ashura
Aug 08, 2022 07:33Wananchi Waislamu hapa Iran na Nigeria jana na leo wameungana na mamilioni ya wafuasi wengine wa Ahlul-Baiti (as) duniani kote katika kumbukumbu ya mauaji ya mjukuu wa Mtume SAW, Imam Hussein AS.
-
Jumatatu tarehe 8 Agosti 2022
Aug 08, 2022 02:39Leo ni Jumatatu tarehe 10 Mfunguo Nne Muharram 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 8 Agosti 2022.
-
Polisi Nigeria washambulia waombolezaji katika kumbukumbu ya Ashura
Aug 20, 2021 14:28Askari polisi nchini Nigeria jana Alkhamisi waliwashambulia waombolezaji katika kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein (AS) na kuua na kujeruhi kadhaa miongoni mwao.
-
Swala ya Adhuhuri ya Ashura yaswaliwa kote katika Iran ya Kiislamu
Aug 19, 2021 15:37Waombolezaji kote katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo wameswali Swala ya Adhuhuri ya Ashura katika kumbukumbu ya siku aliyouawa shahidi kiongozi wa mashahidi, Imam Hussein AS.
-
Wingu la huzuni na majonzi latanda Iran katika maombolezo ya Ashura
Aug 19, 2021 08:02Wananchi Waislamu waombolezaji hapa Iran leo wanashiriki kwenye vikao vya maombolezo kukumbuka ushujaa na dhulma waliotendewa mashahidi wa Karbala kkwa mnasaba wa siku ya Ashura.
-
Wanazuoni wa Kiislamu Bahrain wawakosoa watawala wa ukoo wa Aal Khalifa kwa kuvunjia heshima nembo za kidini
Aug 17, 2021 02:33Wanazuoni wa Kiislamu wa Bahrain wamelaani vikali hatua za utawala wa kizazi cha Aal Khalifa wa nchi hiyo za kuvunjia heshima shughuli za kidini na nembo za maombolezo ya mwezi wa Muharram unaokumbusha mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) na kutoa wito wa kukomeshwa mara moja hatua hizo.
-
Jumatatu tarehe 16 Agosti mwaka 2021
Aug 16, 2021 02:19Leo ni Jumatatu tarehe 7 Muharram 1443 Hijria sawa na Agosti 16 mwaka 2021.
-
Iran ya Kiislamu yaghariki kwenye dimbwi la huzuni na majonzi ya maombolezo ya Ashura
Aug 30, 2020 07:16Kwa kuwadia Ashura, siku ya kupeperushwa bendera za wekundu wa damu za kupigania uhuru na ukombozi, msisimko wa mapenzi ya Imam Hussein AS umetanda katika kila pembe ya Iran ya Kiislamu.
-
Mkumi ya maelfu ya askari wa Iraq kushiriki katika ulinzi wa maombolezo ya Ashura
Aug 25, 2020 11:49Mkuu wa Jeshi la Polisi la Karbala Iraq amesema, askari 30 elfu wamewekwa tayari kwa ajili ya kulinda usalama wa wafanya ziara na waombolezaji wa Ashura ya Imam Husain AS.