-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu katika mkutano na wabunge; sisitizo kuhusu majukumu na matarajio
Jul 13, 2020 07:36Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu siku ya Jumapili alifanya mkutano kwa njia ya video na wabunge wa Awamu ya 11 ya Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran ambapo amelitaja bunge hilo kuwa ni 'dhihirisho la matumaini na matarajio ya wananchi."
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu Iran kuunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina
Jul 07, 2020 02:28Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amejibu barua kutoka kwa mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kuhusu matukio ya hivi karibuni ya Palestina.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (2): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani
Jul 06, 2020 05:54Tukiendelea na pale yalipoishia mazungumzo yetu katika kipindi kilichopita, katika kueleza sifa zinazoyapambanua na kuyatafautisha Mapinduzi ya Kiislamu na mapinduzi mengine makubwa katika namna ya kutokea kwake, sifa nyingine ya kipekee ya mapinduzi hayo inahusu uongozi wa mapinduzi yenyewe.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (1): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani
Jul 06, 2020 05:19Karne ya 20 tunaweza kuipa jina la Karne ya Mapinduzi. Mapinduzi ya mwanzo makubwa yaliyotokea katika karne hiyo yalikuwa ya Urusi ya mwaka 1917, yakafuatiwa na mengine kama mapinduzi ya China, Cuba, Iran na Nicaragua. Lakini hakuna shaka kuwa, mapinduzi muhimu zaidi na ya kipekee zaidi katika karne ya 20 yalikuwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu kukaribia kuangamia utawala wa Kizayuni katika eneo
May 23, 2020 02:38"Bila shaka kirusi cha Uzayuni hakitadumu kwa muda mrefu na kwa kutegemea hima, imani, ghera ya vijana, mizizi ya kirusi hicho itang'olewa na kuondolewa katika eneo".
-
Jumamosi, Machi 14, 2020
Mar 14, 2020 02:28Leo ni Jumamosi tarehe 19 Rajab 1441 Hijria mwafaka na tarehe 14 machi 2020 Miladia.
-
Kingozi Muadhamu aamuru Jeshi la Iran liunde kituo maalumu cha vita dhidi ya Corona
Mar 13, 2020 02:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Alhamisi usiku alitoa amri kwa Meja Jenerali Mohammad Baqeri Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutaka kamandi hiyo iunde 'Kituo cha Afya na Matibabu' kwa lengo la kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 ambao ni maarufu kama virusi vya Corona.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu udharura wa kuwa macho mbele ya njama za maadui na kuwa tayari kutoa jibu na pigo mkabala
Feb 24, 2020 07:01Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amewashukuru wananchi kwa kuufuzu kwa kiwango cha kuridhisha mtihani mkubwa wa uchaguzi na kuweza kuzima propaganda za kila upande za maadui na kutumia kwao vibaya suala hilo na akasisitiza kwamba: Taifa zima linapaswa kuwa macho na kujiweka tayari kukabiliana na njama za adui zinazolenga kutoa pigo kwa mihimili tofauti ya nchi.
-
Uchaguzi na uwezo unaozidi kuongezeka wa taifa la Iran mkabala wa Marekani kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Feb 19, 2020 08:02Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumanne asubuhi alikutana na maelfu ya wananchi kutoka mkoa wa Azerbaijan Mashariki na kusema kushiriki kwenye uchaguzi ni wajibu wa kidini, kitaifa na kimapinduzi na haki ya kiraia ya wananchi wote.
-
Hotuba za Kiongozi Muadhamu Katika Sala ya Ijumaa Tehran; ubainishaji wa nguvu na adhama ya Iran
Jan 18, 2020 07:53Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika hotuba zake za Sala ya Ijumaa wiki hii mjini Tehran, alisema: "Kushiriki kimuujiza taifa la Iran katika mazishi ya shahidi mtoharifu Qassem Soleimani na wenzake na pia jibu kali la IRGC lililotolewa kwa kushambulia kituo cha Ainul Assad cha Jeshi la Marekani (nchini Iraq) ni siku mbili ambazo zinaweza kutajwa kuwa Siku za Mwenyezi Mungu (Ayamullah). Siku hizi zimejaa somo na ibra na ni za kuainisha hatima."