• Jenerali apaa na kukumbatiwa na Malaika

    Jenerali apaa na kukumbatiwa na Malaika

    Jan 12, 2020 12:18

    مِنَ الْمُؤْمِنِینَ رِجَالٌ صَدَقُوا مَا عَاهَدُوا اللَّهَ عَلَیْهِ فَمِنْهُمْ مَنْ قَضَى نَحْبَهُ وَمِنْهُمْ مَنْ یَنْتَظِرُ وَمَا بَدَّلُوا تَبْدِیلًا

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu udharura wa kutekeleza maamuzi ya wakuu wa nchi na ulazima wa kuwa macho mbele ya wanaotaka kuvuruga utulivu na amani katika jamii

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu udharura wa kutekeleza maamuzi ya wakuu wa nchi na ulazima wa kuwa macho mbele ya wanaotaka kuvuruga utulivu na amani katika jamii

    Nov 19, 2019 05:55

    Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya miji ya Iran imeshuhudia ukosefu wa usalama kufuatia uamuzi wa viongozi wa mihimili mitatu ya dola kutekeleza mpango wa usimamizi bora wa mafuta ya petroli. Matukio hayo chungu ambayo yaliandamana na ghasia na utumiaji mabavu na hivyo kupelekea kuharibiwa au kuteketezwa baadhi ya maeneo ya umma pia yamepelekea watu kadhaa ya kupoteza maisha.

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kutotosheka na mafanikio ya sasa ya kisayansi nchini Iran

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kutotosheka na mafanikio ya sasa ya kisayansi nchini Iran

    Aug 08, 2019 07:47

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei Jumatano asubuhi alikutana na vijana kadhaa wasomi bingwa wenye vipaji ambao wamepata medali katika Olimpiadi za kimataifa za sayansi na pia vijana wa timu ya taifa ya voliboli (mpira wa wavu) ya Iran ambao wamefika katika kilele cha mchezo huo duniani. Katika kikao hicho, aliwapongeza vijana hao kutokana na uhodari, umahiri na busara yao na kusistiza kuwa, njia hiyo ya utaalamu bingwa haipaswi kuwa na kikomo.

  • Kiongozi Muadhamu: Tumeanza kupunguza ahadi zetu za JCPOA na tutaendelea kupunguza

    Kiongozi Muadhamu: Tumeanza kupunguza ahadi zetu za JCPOA na tutaendelea kupunguza

    Jul 16, 2019 11:22

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa vikali misimamo ya nchi za Ulaya na kushindwa kwao kutekeleza ahadi zao ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kwa kusema: Sisi ndio kwanza tumeanza kupunguza hadi zetu ndani ya mapatano hayo na bila ya shaka tutaendelea tu kupunguza utekelezaji wa ahadi zetu ndani ya JCPOA.

  • Jumanne, Juni 4, 2019

    Jumanne, Juni 4, 2019

    Jun 04, 2019 02:16

    Leo ni Jumanne tarehe 29 Ramadhani 1440 Hijria inayosadifiana na Juni 4 mwaka 2019 Milaadia.

  • Kiongozi: Walanguzi na wahalifu katika mitandao ya kijamii washughulikiwe vikali

    Kiongozi: Walanguzi na wahalifu katika mitandao ya kijamii washughulikiwe vikali

    Apr 28, 2019 16:17

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema jeshi la polisi lina nafasi muhimu katika kulinda usalama katika Intaneti na mitandao ya kijamii na kuongeza kuwa: "Jeshi la polisi linapaswa kukabiliana vikali na walanguzi wa bidhaa na wahalifu wa intaneti na mitandao ya kijamii."

  • Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia Iran

    Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia Iran

    Apr 09, 2019 12:13

    Tarehe 20 Farvardin Inasadifiana na "Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia" nchini Iran. Katika siku kama hii mwaka 1385 Hijria Shamsia sawa na Aprili 9 2006, wanasayansi na wasomi Wairani walifanikiwa kukamilisha mzunguko wa utegenezaji fueli ya nyuklia katika maabara.

  • Kiongozi Muadhamu: Iran itawapiga mweleka maadui katika vita vya kiuchumi dhidi ya taifa hili

    Kiongozi Muadhamu: Iran itawapiga mweleka maadui katika vita vya kiuchumi dhidi ya taifa hili

    Mar 21, 2019 15:43

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema mwaka mpya wa Kiirani unaoanza hii leo utakuwa mwaka wa fursa kubwa na wala hautakuwa wa vitisho kama wanavyodai wengine, na kusisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itamshinda adui katika vita vyake vya kiuchumi dhidi ya taifa hili.

  • Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa mnasaba wa mwaka wa 40 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu;

    Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa mnasaba wa mwaka wa 40 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu; "Hatua ya Pili ya Mapinduzi"

    Feb 14, 2019 10:05

    Kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 40 tokea ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuingia Jamhuri ya Kiislamu katika ukurasa mpya wa uhai wake, Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumatano alitoa ujumbe muhimu sana kwa taifa la Iran ambapo aliwashukuru wananchi wa kujitokeza kwa wingi na kumsambaratisha adui katika matembezi ya maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatatu 22 Bahram (11 Februari) .

  • Miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran

    Miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran

    Feb 12, 2019 10:06

    Assalam Alaykum warhmatullahi wabarakatuh hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi tena katika kipindi hiki maaluimu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 40 wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki.