-
Alfajiri Kumi na Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 02, 2019 13:15Tarehe 12 Bahman sawa na tarehe Mosi Februari, inasadifiana na mwanzo wa sherehe za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Miaka 40 na juhudi za kuunganisha madhehebu za Kiislamu
Feb 02, 2019 04:35Katika mada ya 11 ya Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwa msingi wa Aya ya Qur'ani Tukufu inayosema: Hakika umma wenu huu ni umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu, kwa hivyo niabuduni Mimi, serikali ya Jamhuri ya Kiislamu inawajibika kuratibu siasa zake kuu kwa msingi wa kuleta umoja na mshikamano wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kati ya mataifa yote ya Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu: Chuo Kikuu cha Kidini cha Qum kinapaswa kutatua matatizo
Jan 27, 2019 15:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, kujibu maswali na mahitajio ya kifikra ya vijana, wanafunzi na makundi yenye taathira katika jamii ni kati ya majukumu ya Idara ya Kuutangaza Uislamu ya Iran.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kasi ya harakati ya sayansi na teknolojia Iran
Jan 24, 2019 07:17Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatano asubuhi mjini Tehran katika mkutano na wakuu pamoja na watafiti wa Taasisi ya Utambuzi wa Taaluma za Sayansi na Teknolojia (ICSS), Waziri wa Elimu na pia wakuu na wahadhiri wa vyuo vikuu husika alisistiza kuwa, taifa lolote linalobaki nyuma katika taaluma mpya na teknolojia zinazohusiana na taaluma hizo halitakuwa na hatima nyingine ghairi ya kubaki nyuma kimaendeleo, kudhalilishwa na kukoloniwa na madola yenye nguvu.
-
Kiongozi Muadhamu: Bishara za ushindi mkubwa zimeonekana wakati Wapalestina walipoipigisha magoti Israel masaa 48 tu
Dec 31, 2018 15:13Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Palestina itaendelea kuwa taifa lenye nguvu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, katika kipindi kisicho mbali sana taifa hilo litaweza kupata ushindi wa mwisho.
-
Uwezo wa Jeshi la Majini la Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Nov 29, 2018 07:15Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Iran jana alikutana na makamanda na wakuu wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kumepatikana mafanikio makubwa katika Jeshi la Iran hasa jeshi la majini tokea mwanzo wa Mapinduzi ya Kiislamu hadi sasa.
-
Wiki ya Umoja: Uislamu unaoshajiisha Umoja; dharura ya leo ya ulimwengu wa Kiislamu
Nov 20, 2018 12:11Tuko katika siku tukufu za Wiki ya Umoja wa Kiislamu, ambayo ni wiki ya kuadhimishwa uzawa na maulidi ya Mtume Mtukufu Muhammad (saw).
-
Kiongozi Muadhamu: Tunapaswa kuimarisha ulinzi usiohisika katika kukabiliana na vitisho vya maadui
Oct 28, 2018 16:15Mkuu na maafisa wa Taasisi ya Ulinzi Usiohisika (Passive Defense) ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo wameonana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Kiongozi Muadhamu asisitiza kuimarishwa uwezo wa majeshi ya Iran katika kukabiliana na adui
Sep 10, 2018 06:53Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alishiriki katika mahafali ya pamoja ya kuhitimu na kuapishwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya maafisa wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuashiria sera za shari na kiistikbari za kuibua machafuko na ukosefu wa usalama na kusisitiza kuwa:
-
Kiongozi: Lengo la adui katika vita vya vyombo vya habari ni kuwafadhaisha na kuwakatisha tamaa wananchi
Sep 06, 2018 14:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesema, jukumu muhimu zaidi walilonalo wananchi na wenye vipawa katika hali nyeti na hasasi ya hivi sasa ni kupiga hatua mbele katika kudumisha na kuimarisha mshikamano baina ya wananchi na vyombo vya serikali na kujiepusha na kujenga mazingira ya kupoteza matumaini na kukatisha tamaa na kuhisi kwamba kuna mkwamo.