-
Kiongozi Muadhamu: Tunapaswa kuimarisha ulinzi usiohisika katika kukabiliana na vitisho vya maadui
Oct 28, 2018 16:15Mkuu na maafisa wa Taasisi ya Ulinzi Usiohisika (Passive Defense) ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo wameonana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Kiongozi Muadhamu asisitiza kuimarishwa uwezo wa majeshi ya Iran katika kukabiliana na adui
Sep 10, 2018 06:53Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alishiriki katika mahafali ya pamoja ya kuhitimu na kuapishwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya maafisa wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuashiria sera za shari na kiistikbari za kuibua machafuko na ukosefu wa usalama na kusisitiza kuwa:
-
Kiongozi: Lengo la adui katika vita vya vyombo vya habari ni kuwafadhaisha na kuwakatisha tamaa wananchi
Sep 06, 2018 14:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesema, jukumu muhimu zaidi walilonalo wananchi na wenye vipawa katika hali nyeti na hasasi ya hivi sasa ni kupiga hatua mbele katika kudumisha na kuimarisha mshikamano baina ya wananchi na vyombo vya serikali na kujiepusha na kujenga mazingira ya kupoteza matumaini na kukatisha tamaa na kuhisi kwamba kuna mkwamo.
-
Ijumaa, tarehe 6 Julai, 2018
Jul 06, 2018 04:25Leo ni Ijumaa tarehe 22 Shawwal 1439 Hijria sawa na tarehe 6 Julai 2018.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu Kuhusu matakwa ya taifa la Iran kwa wale wanaodai kutetea haki za binadamu
Jun 28, 2018 13:03Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano na wakuu wa vyombo vya mahakama alisema: "Katika suala la haki za binadamu, Jamhuri ya Kiislamu ina matakwa na majibu inayotaka kutoka kwa Wamagharibi watenda jinai wanaodai kutetea haki za binadamu."
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bunge litunge sheria za kukabiliana na ugaidi, utakatishaji fedha
Jun 20, 2018 16:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) ambayo imebalehe na kukomaa inapaswa kutenda kwa kujitegemea katika kutunga sheria za masuala kama kupambana na ugaidi na mapambano dhidi ya utakatishaji wa fedha chafu.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu undumakuwili wa nchi za Magharibi
Jun 11, 2018 10:37Ayatullahil Udhma Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumapili katika mkutano wake na mamia ya wahadhiri wa vyuo vikuu na wasomi kutoka taasisi mbali mbali za utafiti nchini alibainisha nafasi ya juu ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa kimataifa.
-
Jumatatu, Juni 4, 2018
Jun 04, 2018 04:09Leo ni Jumatatu tarehe 19 Ramadhani 1439 Hijria, sawa na tarehe 4 Juni, 2018 Miladia.
-
Jumatano tarehe 18 Aprili, 2018
Apr 18, 2018 04:02Leo ni Jumatano tarehe Mosi Shaaban mwaka 1439 Hijria sawa na tarehe 18 Aprili 2018.
-
Alkhamisi tarehe 15 Machi, 2018
Mar 15, 2018 03:24Leo ni Alkhamisi tarehe 26 Jamadithani 1439 Hijria sawa na tarehe 15 Machi 2018.