-
Marekani na makabiliano ya daima dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 05, 2018 11:07Kipindi hiki kimejaribu kutupia jicho kwa ufupi uadui ambao umekuwa ukiendeshwa na Marekani dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa karibu miaka 40 iliyopita.
-
Umoja kwa mtazamo wa Imam Khomeini na Kiongozi Muadhamu
Dec 04, 2017 17:02Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu na maadhimisho ya Wiki ya Umoja.
-
Zarif: Magaidi wazawa wa Magharibi ndio wanaowaua watoto Syria, Iraq
Dec 03, 2017 14:16Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Magharibi zitoe ufafanuzi kuhusu ni kwa nini wimbi la watoto wanaozaliwa, kulelewa na kupata elimu katika nchi hizo ndio wanaoongoza katika mauaji yanayofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) dhidi ya watoto wa Syria na Iraq.
-
Kiongozi: Kujitokeza kwa wingi wananchi katika medani za kupambana na madola ya kiistikbari ni muujiza wa Mapinduzi ya Kiislamu
Nov 23, 2017 07:15Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, jana Jumatano alikutana na maelfu ya wapiganaji wa kujitolea wa jeshi la Basij waliokwenda kuonana naye kutoka maeneo mbalimbali ya Iran na kusema kujitokeza kwa wingi vijana katika medani mbalimbali hasa medani ya kupambana na madola ya kiistikbari na kibeberu ni kati ya miujiuza ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Arubaini ya Imam Hussein AS kwa Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Nov 03, 2017 06:24Assalam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuhu. Karibuni kujiunga nasi katika makala hii inayowajieni kwa munasaba wa siku hizi za Arubaini ya Imam Hussein AS. Makala yetu ya leo itaangazia siri hii kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei. Karibuni kujiunga nami hadi mwisho.
-
Ayatullah Khamenei: Kizazi cha vijana wenye uwezo wa Iran ni fahari kwa taifa
Sep 03, 2017 13:47Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kizazi cha vijana wenye uwezo wa Iran walioko katika sekta na nyanja mbalimbali ni fahari kwa taifa hili la Kiislamu.
-
Jumanne 27 Juni, 2017
Jun 27, 2017 02:34Leo ni Jumanne tarehe Pili Shawwal 1438 Hijria, inayosadifiana na tarehe 27 Juni 2017.
-
Trump na vitisho dhidi ya Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Jun 19, 2017 12:40Ayatullah Sayyed Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumapili alikutana mjini Tehran na familia za mashahidi walinzi wa Haram Takatifu na vikosi vya usalama vinavyolinda mipaka ya nchi na kusisitiza umuhimu wa mashahidi katika uhai wa Iran.
-
Jumapili, Juni 4, 2017
Jun 04, 2017 06:45Leo ni Jumapili tarehe Tisa Ramadhani 1438 Hijria sawa na tarehe Nne Juni, 2017 Miladia.
-
Jumanne, 18 Aprili, 2017
Apr 18, 2017 06:58Leo ni Jumanne tarehe 20 Rajab 1438 Hijria sawa na Aprili 18, 2017