Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ayatullah Khamenei

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu Kuhusu matakwa ya taifa la Iran kwa wale wanaodai kutetea haki za binadamu

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu Kuhusu matakwa ya taifa la Iran kwa wale wanaodai kutetea haki za binadamu

    Jun 28, 2018 08:33

    Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano na wakuu wa vyombo vya mahakama alisema: "Katika suala la haki za binadamu, Jamhuri ya Kiislamu ina matakwa na majibu inayotaka kutoka kwa Wamagharibi watenda jinai wanaodai kutetea haki za binadamu."

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bunge litunge sheria za kukabiliana na ugaidi, utakatishaji fedha

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bunge litunge sheria za kukabiliana na ugaidi, utakatishaji fedha

    Jun 20, 2018 12:04

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) ambayo imebalehe na kukomaa inapaswa kutenda kwa kujitegemea katika kutunga sheria za masuala kama kupambana na ugaidi na mapambano dhidi ya utakatishaji wa fedha chafu.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu undumakuwili wa nchi za Magharibi

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu undumakuwili wa nchi za Magharibi

    Jun 11, 2018 06:07

    Ayatullahil Udhma Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumapili katika mkutano wake na mamia ya wahadhiri wa vyuo vikuu na wasomi kutoka taasisi mbali mbali za utafiti nchini alibainisha nafasi ya juu ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa kimataifa.

  • Jumatatu, Juni 4, 2018

    Jumatatu, Juni 4, 2018

    Jun 03, 2018 23:39

    Leo ni Jumatatu tarehe 19 Ramadhani 1439 Hijria, sawa na tarehe 4 Juni, 2018 Miladia.

  • Jumatano tarehe 18 Aprili, 2018

    Jumatano tarehe 18 Aprili, 2018

    Apr 17, 2018 23:32

    Leo ni Jumatano tarehe Mosi Shaaban mwaka 1439 Hijria sawa na tarehe 18 Aprili 2018. 

  • Alkhamisi tarehe 15 Machi, 2018

    Alkhamisi tarehe 15 Machi, 2018

    Mar 14, 2018 23:54

    Leo ni Alkhamisi tarehe 26 Jamadithani 1439 Hijria sawa na tarehe 15 Machi 2018.

  • Marekani na makabiliano ya daima dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu

    Marekani na makabiliano ya daima dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 05, 2018 07:37

    Kipindi hiki kimejaribu kutupia jicho kwa ufupi uadui ambao umekuwa ukiendeshwa na Marekani dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa karibu miaka 40 iliyopita.

  • Umoja kwa mtazamo wa Imam Khomeini na Kiongozi Muadhamu

    Umoja kwa mtazamo wa Imam Khomeini na Kiongozi Muadhamu

    Dec 04, 2017 13:32

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu na maadhimisho ya Wiki ya Umoja.

  • Zarif: Magaidi wazawa wa Magharibi ndio wanaowaua watoto Syria, Iraq

    Zarif: Magaidi wazawa wa Magharibi ndio wanaowaua watoto Syria, Iraq

    Dec 03, 2017 10:46

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Magharibi zitoe ufafanuzi kuhusu ni kwa nini wimbi la watoto wanaozaliwa, kulelewa na kupata elimu katika nchi hizo ndio wanaoongoza katika mauaji yanayofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) dhidi ya watoto wa Syria na Iraq.

  • Kiongozi: Kujitokeza kwa wingi wananchi katika medani za kupambana na madola ya kiistikbari ni muujiza wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Kiongozi: Kujitokeza kwa wingi wananchi katika medani za kupambana na madola ya kiistikbari ni muujiza wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Nov 23, 2017 03:45

    Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, jana Jumatano alikutana na maelfu ya wapiganaji wa kujitolea wa jeshi la Basij waliokwenda kuonana naye kutoka maeneo mbalimbali ya Iran na kusema kujitokeza kwa wingi vijana katika medani mbalimbali hasa medani ya kupambana na madola ya kiistikbari na kibeberu ni kati ya miujiuza ya Mapinduzi ya Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS