• Arubaini ya Imam Hussein AS kwa Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Arubaini ya Imam Hussein AS kwa Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Nov 03, 2017 02:54

    Assalam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuhu. Karibuni kujiunga nasi katika makala hii inayowajieni kwa munasaba wa siku hizi za Arubaini ya Imam Hussein AS. Makala yetu ya leo itaangazia siri hii kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei. Karibuni kujiunga nami hadi mwisho.

  • Ayatullah Khamenei: Kizazi cha vijana wenye uwezo wa Iran ni fahari kwa taifa

    Ayatullah Khamenei: Kizazi cha vijana wenye uwezo wa Iran ni fahari kwa taifa

    Sep 03, 2017 09:17

    Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kizazi cha vijana wenye uwezo wa Iran walioko katika sekta na nyanja mbalimbali ni fahari kwa taifa hili la Kiislamu.

  • Jumanne 27 Juni, 2017

    Jumanne 27 Juni, 2017

    Jun 26, 2017 22:04

    Leo ni Jumanne tarehe Pili Shawwal 1438 Hijria, inayosadifiana na tarehe 27 Juni 2017. 

  • Trump na vitisho dhidi ya Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Trump na vitisho dhidi ya Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Jun 19, 2017 08:10

    Ayatullah Sayyed Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumapili alikutana mjini Tehran na familia za mashahidi walinzi wa Haram Takatifu na vikosi vya usalama vinavyolinda mipaka ya nchi na kusisitiza umuhimu wa mashahidi katika uhai wa Iran.

  • Jumapili, Juni 4, 2017

    Jumapili, Juni 4, 2017

    Jun 04, 2017 02:15

    Leo ni Jumapili tarehe Tisa Ramadhani 1438 Hijria sawa na tarehe Nne Juni, 2017 Miladia.

  • Jumanne, 18 Aprili, 2017

    Jumanne, 18 Aprili, 2017

    Apr 18, 2017 02:28

    Leo ni Jumanne tarehe 20 Rajab 1438 Hijria sawa na Aprili 18, 2017

  • Jumanne Machi 14, 2017

    Jumanne Machi 14, 2017

    Mar 14, 2017 04:56

    Leo ni Jumanne tarehe 15 Jamadithani 1438 Hijria sawa na Machi 14, 2017.

  • Mwandishi wa Misri: Ayatullah Khamenei ni Kiongozi wa Waislamu wote

    Mwandishi wa Misri: Ayatullah Khamenei ni Kiongozi wa Waislamu wote

    Mar 05, 2017 04:10

    Mwandishi mmoja wa Misri amesema kuwa, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ni kiongozi wa Waislamu wote duniani.

  • Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sehemu ya Kwanza)

    Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sehemu ya Kwanza)

    Jan 29, 2017 03:37

    Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika mfululizo huu wa vipindi kadhaa tulivyokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran. Ni matumaini yetu mtakuwa nasi hadi mwisho wa mfululizo huu ambao tutakuwa nao kila siku hadi yatakapofikia kileleni maadhimisho hayo yaani siku ya Ijumaa ya tarehe 10 Februari.

  • Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-3

    Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-3

    Jan 18, 2017 05:08

    Sehemu ya leo ya makala hii itatupia jicho ukurasa wa tatu wa maisha Ayatullah Rafsanjani baada ya kumalizika vita vya kulazimishwa hadi alipofariki dunia zaidi ya moja moja iliyopita.