-
Kiongozi Muadhamu aongoza Swala ya maiti ya Ayatullah Rafsanjani
Jan 10, 2017 04:50Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhmaa Ali Khamenei ameongoza Swala ya maiti ya marehemu Ayatullah Akbar Hashemi Rafsanjani, rais wa zamani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Ayatullah Hashemi Rafsanjani
Jan 09, 2017 00:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kufariki dunia Ayatullah Hashemi Rafsanjani.
-
9 Dei, Siku ya Mwamko na Kushikamana na Wilaya
Dec 29, 2016 07:54Ni jambo linalojulikana na wanadamu wote kwamba, hakuna mtu anayeweza kuainisha jinsi ya kuzaliwa au kufariki kwake dunia. Hata hivyo jamii ambayo kama alivyo mwanadamu, inazaliwa na kufa, huwa na taathira katika kubakia hai na katika kufa kwake.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na Fikra ya Umoja wa Kiislamu
Dec 12, 2016 07:13Assalamu Alaykum Wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami tena katika sehemu nyingine ya makala hizo zinazokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume Muhammad (saw). Kipindi chetu leo kitazungumzia Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na fikra ya umoja baina ya Waislamu.
-
Arubaini Katika Maneno ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu (5)
Nov 17, 2016 06:43Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa Arubaini ya Imam Hussein (AS) ambapo leo tutazungumzia kauli na maneno ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatullah Sayyid Ali Khamenei kuhusu tukio hilo adhimu. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni.
-
Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa
Nov 09, 2016 07:57Tarehe 13 mwezi Aaban mwaka wa Hijria Shamsia ambayo mwaka huu inasadifiana na tarehe 3 Novemba, inatambuliwa hapa nchini Iran kama Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa.
-
Kiongozi Muadhamu: Saudia ikubali uchunguzi kuhusu maafa ya Mina
Sep 07, 2016 08:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa: "Iwapo utawala wa Saudia haupaswi kulaumiwa kuhusu maafa ya Mina, basi ukubali jopo la Kiislamu-Kimataifa lichunguze kwa karibu maafa hayo na kuweka kila kitu wazi."
-
Alkhamisi, 14 Julai, 2016
Jul 14, 2016 02:03Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Mfunguo Mosi Shawwal 1437 Hijria sawa na tarehe 14 Julai 2016.
-
Kiongozi: Umma ufahamishwe kuhusu hiana ya Marekani katika mapatano ya nyuklia
Jun 21, 2016 02:56Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa umma unapaswa kufahamishwa kuhusu hiana inayofanywa na Marekani katika utekelezwaji wa mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Kiongozi Muadhamu aonya kuhusu njama za maadui wa Iran
Jun 15, 2016 04:05Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametahadharisha juu ya njama za maadui wanaoazimia kukwamisha maendeleo ya Iran.