-
Kiongozi: Wamagharibi wanataka kudhibiti eneo kupitia vita dhidi ya Uislamu
May 01, 2016 13:41Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema madola ya Magharibi yakiongozwa na Marekani yanataka kulidhibiti eneo la Magharibi mwa Asia kupitia vita vikubwa na vipana dhidi ya mrengo wa Uislamu.
-
Matamshi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano na Rais wa Afrika Kusini
Apr 25, 2016 08:53Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ambaye Jumapili aliwasili Tehran akiongoza ujumbe wa ngazi za juu alikutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Kiongozi: Marekani inatoa misaada kwa magaidi
Apr 12, 2016 13:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema misaada ya silaha na kifedha inayotoa Marekani kwa makundi ya kigidi ni moja ya vizuizi katika utatuzi wa tatizo la ugaidi.
-
Kiongozi asisitiza kuhusu uadui wa Marekani dhidi ya Iran
Mar 20, 2016 13:33Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu kuendelea uadui wa Marekani na taifa la Iran na kusema kuwa, 'Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitalegeza msimamo kuhusu misimamo yake ya kimsingi.'
-
Chuo cha kidini Iran ni cha kimapinduzi
Mar 15, 2016 11:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Chuo cha kidini (Hawza) mjini Qum kinapaswa kubakia "Chuo cha Kimapinduzi na Chimbuko la Mapinduzi" na ili kufikia lengo hilo kuna haja ya kuwepo fikra, tadbiri na mpango wa kina."
-
Kiongozi alipongeza taifa la Iran kwa kushiriki kwa wingi katika chaguzi
Feb 28, 2016 23:03Kiongozi Muadhamu wa Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelipongeza taifa la Iran kwa kushiriki kwa wingi katika chaguzi mbili za siku ya Ijumaa.