-
Tehran na Baku zasaini hati sita za ushirikiano
Aug 07, 2016 13:59Hati sita za makubaliano ya ushirikiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Azerbaijan zimesainiwa Jumapili hii huko Baku mji mkuu wa Azerbaijan ikiwa ni katika fremu ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati ya nchi mbili.
-
Zarif: Iran iko tayari kusaidia kutatua mgogoro wa Karabakh
Apr 05, 2016 14:10Waziri wa Mambo ya Nje Muhammad Javad Zarif amesema Iran iko tayari kusaidia kurejesha utulivu katika eneo la Nagorno-Karabakh ambalo katika siku za karibuni limekuwa uwanja wa mapigano makali kati ya vikosi vinavyoungwa mkono na Armenia na vile vya serikali ya Azerbaijan.