Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Kuongezeka harakati baina ya mhimili wa mapatano wa Kiarabu na utawala haramu wa Israel

    Kuongezeka harakati baina ya mhimili wa mapatano wa Kiarabu na utawala haramu wa Israel

    Feb 27, 2021 02:45

    Utata na kutokuwa wazi serikali mpya ya Marekani katika siasa zake za kigeni kuhusiana na eneo la Asia Magharibi ni jambo ambalo limepelea kuongezeka kwa mara nyingine harakati za mhimili wa mapatano wa Kiarabu na utawala haramu wa Israel.

  • Mwaka wa 10 wa Mapambano ya Februari 14 na hotuba ya Sheikh Issa Qassem inayobainisha hali ya Bahrain

    Mwaka wa 10 wa Mapambano ya Februari 14 na hotuba ya Sheikh Issa Qassem inayobainisha hali ya Bahrain

    Feb 15, 2021 01:24

    Ayatullah Sheikh Issa Qassem, kiongozi wa kimaanawi wa mapambano ya wananchi wa Bahrain, Jumamosi tarehe 13 Februari alitoa hotuba muhimu kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 10 wa mapambano ya watu wa nchi hiyo dhidi ya utawala wa Aal Khalifa.

  • Sheikh Isa Qassim: Ukandamizaji hautawanyamazisha Wabahrain

    Sheikh Isa Qassim: Ukandamizaji hautawanyamazisha Wabahrain

    Feb 14, 2021 07:53

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain amesema jitihada za taifa hilo la Kiarabu katu hazitazimwa na dhulma na ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya usalama vya utawala wa kiukoo unaoingoza nchi hiyo kwa mkono wa chuma.

  • Bunge la Uingereza laikosoa serikali kwa kunyamazia ukiukaji wa haki za binadamu Bahrain

    Bunge la Uingereza laikosoa serikali kwa kunyamazia ukiukaji wa haki za binadamu Bahrain

    Feb 13, 2021 12:01

    Wawakilishi wa Bunge la Uingereza wameikosoa serikali ya nchi hiyo kwa kile walichokitaja kuwa, kimya chake mbele ya ukiukaji wa haki za binadamu unaoendelea kufanywa nchini Bahrain.

  • Ongezeko la ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa dhidi ya Wabahrain katika mwaka wa 10 wa mwamko wao

    Ongezeko la ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa dhidi ya Wabahrain katika mwaka wa 10 wa mwamko wao

    Feb 12, 2021 12:55

    Wakati ukikaribia mwaka wa 10 tokea uanze mwamko wa wananchi wa Bahrain dhidi ya utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini humo, utawala huo dhalimu umeshadidisha ukandamizaji na utumiaji mabavu dhidi ya wananchi wanaotaka mabadiliko.

  • Imarati, Bahrain zawakatia Wapalestina misaada baada ya kuikumbatia Israel

    Imarati, Bahrain zawakatia Wapalestina misaada baada ya kuikumbatia Israel

    Feb 07, 2021 07:48

    Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain zimepunguza kwa kiasi kikubwa misaada yao ya kifedha iliyokuwa ikiwapa wananchi wa Palestina, baada ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Wabahrain waandamana kupinga kuteuliwa balozi wa Israel nchini humo

    Wabahrain waandamana kupinga kuteuliwa balozi wa Israel nchini humo

    Jan 16, 2021 04:23

    Wananchi wa Bahrain jana Ijumaa walimiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kulaani uteuzi wa balozi mdogo wa utawala haramu wa Israel katika nchi hiyo ya Kiarabu, huo ukiwa ni muendelezo wa hatua za kuimarisha uhusiano baina ya Manama na Tel Aviv.

  • Sheikh Isa Qassim: Bahrain ni jela kubwa

    Sheikh Isa Qassim: Bahrain ni jela kubwa

    Jan 07, 2021 06:43

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Bahrain amesema kuwa dhulma na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa ukoo wa Aal Khalifa dhidi ya taifa la Bahrain umeifanya nchi hiyo kuwa sawa na jela kubwa.

  • Sheikh Ali Salman; kutolewa hatiani na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha maisha jela na utawala wa Bahrain

    Sheikh Ali Salman; kutolewa hatiani na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha maisha jela na utawala wa Bahrain

    Jan 01, 2021 10:10

    Sambamba na kutimia mwaka wa sita tangu Sheikh Ali Salman awekwe korokoroni, wananchi wa Bahrain wameandamana kutaka Katibu Mkuu huyo wa harakati ya Kiislamu ya Al-Wifaq ya nchi hiyo aachiiwe huru.

  • Qatar yaliandikia barua Baraza la Usalama ikilalamika Bahrain kuingia katika anga yake bila ruhusa

    Qatar yaliandikia barua Baraza la Usalama ikilalamika Bahrain kuingia katika anga yake bila ruhusa

    Dec 25, 2020 02:30

    Qatar imeandika barua kwa Baraza la Usalama na kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ikiwafahamisha kuhusu kitendo cha ndege nne za Bahrain cha kukiuka anga ya Qatar.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS