-
Utata mwingi kuhusiana na kupatiwa ufumbuzi mzozo wa mataifa ya Kiarabu
Dec 19, 2020 03:00Katika kipindi cha mwezi mmoja wa hivi karibuni kumekuwa kukiripotiwa habari kuhusiana na kupatiwa ufumbuzi mgogoro baina ya Qatar na mataifa manne ya Kiarabu ya Saudi Arabia, Imarati, Misri na Bahrain.
-
Iran: Marekani inawashawishi wengine watoe muhanga kadhia ya Palestina
Dec 12, 2020 07:21Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani inazishawishi nchi zingine kutoa muhanga kadhia ya Palestina na kuwapa mkono wezi kwa njia mbali mbali.
-
Shirika la ndege la Bahrain latiliana saini mikataba mitano na Israel
Dec 11, 2020 02:55Shirika la ndege la ukoo wa kifalme wa Aal Khalifa nchini Bahrain, umetia saini mikataba mitano na mashirika na taasisi mbalimbali za utawala wa Kizayuni wa Israel ambao mikono yake imejaa damu za wananchi madhlumu wa Palestina.
-
Mwakilishi wa mfalme wa Bahrain aingia msikiti wa Al Aqsa kwa kificho kwa kuwahofu Wapalestina
Nov 30, 2020 11:25Mwakilishi wa Mfalme wa Bahrain na wenzake aliofuatana nao wameingia msikiti wa Al Aqsa kwa kujificha wakihofu wasije wakatambuliwa na Wapalestina.
-
Malengo ya safari ya ujumbe wa kwanza rasmi wa Bahrain katika ardhi za Palestina
Nov 20, 2020 07:04Ujumbe wa kwanza rasmi wa Bahrain umetembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel, ukiongozwa na Abdullatif bin Rashid al Zayani, waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
-
Kamati za Muqawama Palestina: Watawala wa Bahrain wamelisaliti taifa la Palestina
Nov 20, 2020 06:57Msemaji wa Kamati za Muqawama za Palestina amelaani vikali safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Bahrain katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na zilizopewa jina bandia la Israel.
-
Maandamano ya watu wa Bahrain kupinga mapatano na utawala wa Israel
Oct 19, 2020 07:43Wananchi wenye hasira nchini Bahrain wameandamana kupinga safari ya ujumbe wa Marekani-Kizayuni katika nchi yao kwa lengo la kutangaza rasmi mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Bahrain na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wabahrain wataka iitishwe kura ya maoni kubatilisha hatua ya nchi yao kuanzisha uhusiano na Israel
Oct 18, 2020 15:08Harakati ya Kiislamu ya Al-Wifaq ya nchini Bahrain imetaka iitishwe kura ya maoni ya kubatilisha uamuzi wa utawala wa Aal Khalifa wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Bahrain yasema itawafunga jela wanaopinga uhusiano wake na Israel
Oct 14, 2020 08:01Utawala wa kifalme Bahrain umesema utawakamata na kuwafunga jela wale wote wanaopinga uhusiano wa nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Amir-Abdollahian: Israel inapanga njama ya kuigawanya vipande vipande Saudi Arabia
Oct 02, 2020 08:07Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema: Utawala wa Kizayuni unapanga njama ya kuigawanya vipande vipande Saudi Arabia.