-
Mauaji ya Waislamu wa Srebrenica yakumbukwa
Jul 11, 2016 16:59Maelfu ya watu leo wameshiriki katika shughuli ya kukumbuka maelfu ya Waislamu wa Srebrenica waliouawa kinyama na Waserbia wa Bosnia Herzegovina miaka kadhaa iliyopita.
-
Jumatatu, Julai 11, 2016
Jul 11, 2016 02:39Leo ni Jumatatu tarehe 6 Shawwal 1437 Hijria sawa na 11 Julai 2016.
-
Waislamu Bosnia walaani adhabu hafifu aliyopewa Karadzic
Mar 25, 2016 15:53Waislamu huko Bosnia Herzegovina wamebainisha kusikitishwa na kifungo cha miaka 40 tu jela alichohukumiwa Radovan Karadzic aliyekuwa kiongozi wa zamani wa Bosnia Serbia ambaye amepatikana na hatia ya kuua Waislamu 7,000.