-
Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, China na Russia
Mar 16, 2023 22:45Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, China na Russia yanayofanyika kwa anwani ya "Ukanda wa Amani wa Baharini 2023", yameakisiwa sana kimataifa na kuwa habari ya kwanza katika vyombo mashuhuri vya habari duniani.
-
Iran, China na Russia zafanya luteka ya pamoja katika Bahari ya Oman
Mar 16, 2023 07:55Vikosi vya majini vya Iran, Russia na China vinaendelea na mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Bahari ya Oman, huo ukiwa ni muendelezo wa juhudi za nchi tatu hizo za kuimarisha ushirikiano wa majeshi yao ya baharini.
-
Mazoezi ya pamoja ya kijeshi kati ya China, Iran na Russia yaanza katika Bahari ya Oman
Mar 15, 2023 04:28Wizara ya Ulinzi ya China imetangaza kuwa, mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya majini yanayoishirikisha nchi hiyo, Iran na Russia yatafanyika katika Bahari ya Oman kuanzia leo Jumatano hadi Machi 19.
-
China yaikosoa vikali Marekani
Mar 09, 2023 04:25Rais Xi Jinping wa Uchina, amehutubu kwenye mkutano wa mwaka wa chama tawala cha Kikomunisti, ambapo ameishambulia vikali Marekani na kusema: Washington inaongoza kampeni ya "kuzuia, kuzingira na kuikandamiza" China.
-
China yaongeza bajeti ya kijeshi sambamba na kuongezeka mikwaruzano na Marekani
Mar 06, 2023 06:28Serikali ya China imeongeza bajeti yake ya kijeshi kwa asilimia 7.2 hadi dola bilioni 224 ikilinganishwa na mwaka jana sambamba na kuendelea kushuhudiwa mivutano kati ya nchi hiyo na Marekani.
-
Upinzani wa Magharibi dhidi ya mpango wa amani wa China kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Ukraine
Feb 25, 2023 22:54Rais Joe Biden wa Marekani ameeleza shaka yake kuhusu manufaa ya mpango wa China wa kumaliza vita na kutatua mgogoro wa Ukraine. Akijibu mpango wa China wa kumaliza vita na kutatua mgogoro wa Ukraine, Biden amesema kuwa mpango huo unainufaisha Russia pekee.
-
Kiwewe cha Marekani kwa kuweko uhusiano wa karibu wa Russia, China na Iran
Feb 17, 2023 23:07Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetangaza kuwa, matamshi ya viongozi wa China kuhusiana na kuwa na urafiki usio na mipaka na Russia yamepelekea kuibuka wasiwasi nchini Marekani.
-
Rais Raisi: China inakaribisha juhudi za Iran za kujiunga na BRICS
Feb 16, 2023 08:03Rais Ebrahim Raisi amesema China imekaribisha juhudi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kuwa mwanachama wa jumuiya ya BRICS, inayojumuisha nchi tano zinazoongoza kwa uchumi unaoinukia duniani.
-
Mazungumzo ya Marais wa Iran na China; sisitizo la Xi Jinping juu ya umuhimu wa uhusiano wa pande mbili
Feb 15, 2023 22:56Jumanne ya juzi tarehe 14 Februari, Rais Ebrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikutana na kufanya mazungumzo mjini Beijing na Rais Xin Jinping wa China.
-
Rais Raisi: Utawala Mpya wa Dunia unaibuka huku Asia ikiwa kitovu
Feb 15, 2023 09:13Rais Ebrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mfumo Mpya wa Utawala wa Dunia unaibuka huku bara la Asia likiwa kitovu chake na kwamba utachukua nafasi ya ule wa awali.