-
China yaipa WHO dola milioni 50 baada ya US kulikatia misaada shirika hilo la UN
Apr 23, 2020 22:02China imeliongeza Shirika la Afya Duniani (WHO) msaada wa dola milioni 30 za Marekani za kudhibiti mlipuko wa maambukizi ya virusi vya Corona duniani, siku chache baada ya Marekani kuikatia misaada taasisi hiyo ya Umoja wa Mataifa.
-
Mtaalamu wa Ufaransa alipua bomu, adai virusi vya corona vilitokana na jaribio la kutengeneza chanjo ya Ukimwi
Apr 18, 2020 22:07Mtazamo wa Profesa Luc Antoine Montagnier wa Ufaransa ambaye ni mmoja kati ya wavumbuzi wa virusi vya Ukimwi anayesema virusi vya corona vimetokana na makosa yaliyotokea kwenye maabara, umezusha mjadala mkubwa katika duru za wanasayansi.
-
Tuhuma nyingine za Trump dhidi ya China; jitihada za kuhalalisha kufeli kwake
Apr 18, 2020 06:27Maambukizi ya virusi vya corona na ugonjwa wa Covid-19 hivi sasa yameilenga zaidi Marekani na watu wa nchi hiyo. Pamoja na hayo yote, utendaji wa serikali ya Trump katika uwanja huo ambao umeambatana na upuuzaji, kuchelewa kuchukua hatua na rais huyo kuendelea kung'ang'ania makosa yake, yote hayo yamewakasirisha sana wananchi wa Marekani.
-
China yaitaka Marekani ikome kuituhumu kuwa ilitengeza kirusi cha corona maabarani Wuhan
Apr 16, 2020 10:01Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeilaumu Marekani kwa kuendelea kuituhumu nchi hiyo kuwa ndiyo iliyotengeza kirusi cha corona kinachosababisha ugonjwa wa COVID-19.
-
Corona, Sudan yaomba msaada wa matibabu kutoka China
Apr 15, 2020 20:13Serikali ya Sudan imeiomba serikali ya China iisaidie nchi hiyo dawa na vifaa vya matibabu kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19.
-
Waafrika 111 waishio Guangzhou, China wabainika kuambukizwa virusi vya corona
Apr 14, 2020 03:35Jumla ya raia 111 wa nchi za Kiafrika wanaoishi katika mji wa Guangzhou ulioko kusini mwa China wamebainika kuwa wameambukizwa ugonjwa wa COVID-19. Hayo ni kwa mujibu wa shirika la habari la China, Xinhua.
-
China yakemea ubaguzi wa rangi dhidi ya Waafrika waishio nchini humo kwa kisingizio cha corona
Apr 10, 2020 09:17Wizara ya Mambo ya Nje ya China imekemea vitendo vya unyanyasaji na ubaguzi dhidi ya Waafrika wanaoishi katika jimbo la Guangdong kusini mwa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, serikali ya Beijing itaendelea kuhakikisha raia wote wa kigeni wanapatiwa haki sawa nchini humo.
-
Taathira za kisiasa, kijamii na kiuchumi za virusi vya COVID-19 (Corona)
Mar 28, 2020 04:06Katika kipindi cha sasa kadhia ya maambukizi ya virusi vya COVID-19 au Corona ndiyo gumzo na kadhia muhimu zaidi inayojadiliwa katika duru zote za kisiasa na vyombo vya mawasiliano ya kijamii na hata baina ya watu wa familia.
-
Madai ya Pompeo: China na Russia zinaficha taarifa za virusi vya Corona
Mar 25, 2020 23:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amedai kuwa serikali za Russia na China zinajiepusha kutoa taarifa sahihi za virusi vya Corona.
-
China yaendelea kuipatia Iran misaada ya vifaa vya tiba kwa ajili ya kukabiliana na corona
Mar 21, 2020 03:37Shehena nyingine nne za vifaa vya tiba za msaada wa serikali na wananchi wa China kwa ajili ya kukabiliana na kirusi cha corona zimetumwa hapa nchini.