-
Waislamu London watoa msaada wa chakula kwa mayatima
Dec 18, 2016 11:15Waislamu katika mji mkuu wa Uingereza, London wamekusanya tani nyingi za chakula kwa ajili ya kuwasaidia mayatima na watoto wa mitaani katika kipindi hiki cha sherehe za kufunga mwaka.
-
Zaidi ya watoto 100 wanaotumika vitani Sudan Kusini wakombolewa
Oct 27, 2016 01:59Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza habari ya kukombolewa zaidi ya watoto wadogo 100 waliokuwa wanatumika vitani nchini Sudan Kusini.
-
Kuongezeka "chokoraa" Mombasa, Kenya
May 01, 2016 03:53Jiji la Mombasa nchini Kenya limegubikwa na idadi kubwa ya familiza za watu wa kurandaranda mitaani maarufu kwa jina la chokoraa huku idadi kubwa ya watu wao wakiwa si wenyeji wa eneo la Pwani.