Kuongezeka "chokoraa" Mombasa, Kenya
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i6172-kuongezeka_chokoraa_mombasa_kenya
Jiji la Mombasa nchini Kenya limegubikwa na idadi kubwa ya familiza za watu wa kurandaranda mitaani maarufu kwa jina la chokoraa huku idadi kubwa ya watu wao wakiwa si wenyeji wa eneo la Pwani.
(last modified 2023-11-27T12:14:11+00:00 )
May 01, 2016 08:23 UTC

Jiji la Mombasa nchini Kenya limegubikwa na idadi kubwa ya familiza za watu wa kurandaranda mitaani maarufu kwa jina la chokoraa huku idadi kubwa ya watu wao wakiwa si wenyeji wa eneo la Pwani.

Utafiti unaonesha kuwa, vijana hao wa mitaani baadhi yao wanatokea katika miji kama ya Kampala Uganda na hata Dar es Salaam Tanzania.

Umaskini umetajwa kuwa kiini kikubwa cha vijana hao kubuni maisha ya mijini licha ya umri wao mdogo.

Gonga kwenye picha kusikiliza ripoti ya mwandishi wa Radio Tehran wa Mombasa Kenya.