-
Uingereza kupiga marufuku watoto wa chini ya miaka 16 kutumia mitandao ya kijamii
Jun 16, 2026 02:47Waziri Mkuu wa Uingereza jana alisema nchi hiyo itapiga marufuku watoto walio na umri wa chini ya miaka 16 kutumia programu mbalimbali za mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na Snapchat, TikTok na YouTube ili kuwalinda vijana dhidi ya maudhui hatari na kupoteza muda mwingi katika mitandao ya kijamii.
-
Utafiti wafichua: Wanawake Kenya wanageuzwa tasa mahospitalini bila idhini yao
Apr 09, 2024 07:42Ripoti mpya iliyotolewa nchini Kenya imebaini kuwa wanawake wanaotafuta huduma za matibabu ya uzazi nchini humo wanafanyiwa ukaguzi wa sehemu za siri, kukatizwa uwezo wa kupata mimba na kufanyiwa upasuaji usiohitajika wanapojifungua, bila idhini yao.
-
COP28: "Mustakabali wa watoto uko hatarini"
Dec 07, 2023 10:37Watoto kutoka nchi za Kiafrika na Amerika Kusini jana Jumatano walizungumza katika mkutano wa kilele wa hali ya hewa, COP28 unaofanyika huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu, wakitahadharisha kuhusu mustakbali wa watoto kote duniani.
-
Ripoti: Mamilioni ya watoto wanatumikishwa duniani, hasa Afrika
Jun 12, 2023 07:48Shirika la Kazi Duniani (ILO) limesema mamilioni ya watoto hasa katika nchi maskini dunia wanatumikishwa, huku likitahadharisha kuhusu kuongezeka utumwa mamboleo duniani.
-
Watoto milioni 449 wanaishi katika maeneo ya migogoro
Jun 04, 2023 07:42Shirika la Save the Children limesema mamia ya mamilioni ya watoto wanaishi katika maeneo yenye migogoro ya kivita na wanakabiliwa na hatari ya kifo.
-
UN: Janga la corona linarudisha nyuma juhudi za kukomesha ndoa za watoto na ukeketaji
Jun 30, 2020 03:42Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, janga la corona linarudisha nyuma maendeleo yaliyopatikana katika jitihada za kukomesha ndoa za watoto na ukeketaji wa uke (FGM), suala ambalo linahatarisha hatma ya mamilioni ya wasichana katika pembe mbalimbali duniani.
-
UN: Watoto bado wanatumiwa vitani duniani na haki zao zinakiukwa
Jun 16, 2020 22:14Umoja wa Mataifa umesema janga la wavulana na wasicha kutumiwa na kufanyiwa ukatili kwenye mizozo ya silaha limeendelea kwa mwaka mzima wa 2019.
-
UN: Watoto bado wanatumiwa vitani na haki zao kukiukwa
Jun 16, 2020 20:31Umoja wa Mataifa umesema jangaa la wavulana na wasichana kutumiwa vibaya na kufanyiwa ukatili kwenye mizozo ya silaha liliendelea kwa mwaka mzima wa 2019.
-
Corona yawakatizia watoto milioni 80 chanjo za polio, surua na kipindupindu
May 23, 2020 03:29Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa janga la corona limevuruga mpango wa utoaji wa chanjo za magonjwa ya kupooza (polio), surua na kipindupindu kwa makumi ya mamilioni ya watoto duniani.
-
Mgogoro wa elimu waishtua UN, watoto milioni 258 hawaendi shule
Jan 25, 2020 04:08Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuna mgogoro mkubwa wa elimu duniani hivi sasa, na kwamba watoto zaidi ya milioni 258 walio chini ya umri wa miaka 17 hawaendi shule.