-
Rais Macron ashambuliwa kwa kutilia shaka chanjo ya corona
Jan 30, 2021 07:59Wabunge wahafidhina na wanasayansi wa Ulaya wamemjia juu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa kusema kuwa chanjo ya kukabiliana na corona ya shirika la AstraZeneca la Uingereza 'haifanyi kazi' kama ilivyotarajiwa.
-
Rouhani: Iran kuanza kutoa chanjo ya Covid-19 ndani ya siku chache zijazo
Jan 23, 2021 12:12Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaanza kutoa chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 hapa nchini katika kipindi cha siku chache zijazo.
-
Corona yaua waziri wa tatu ndani ya wiki moja nchini Zimbabwe
Jan 23, 2021 11:44Joel Matiza, Waziri wa Uchukuzi na Ustawi wa Miundombinu wa Zimbabwe ameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19, na hivyo kuwa waziri wa tatu kuaga dunia kwa maradhi hayo katika kipindi cha siku saba.
-
Uchunguzi na karantini ya haraka, silaha bora ya kuikabili corona ya Uingereza
Jan 17, 2021 13:23Katibu wa Tume ya Kielimu ya Kamati ya Kupambana na Corona nchini Iran amesema kuwa, inawezekana kuzuia maambukizo ya corona ya Uingereza kwa kutumia vizuri uwezo wa mashirika ya Iran yanayozalisha vifaa vya kupimia COVID-19 pamoja na kuwaweka karantini haraka wanaopatikana na ugonjwa huo.
-
Bara la Afrika kuagiza dozi milioni 300 za COVID-19, maambukizi yaongezeka
Jan 13, 2021 14:35Umoja wa Afrika umeazimia kuagiza dozi milioni 300 za chanjo ya COVID-19 , huku maambukizi ya ugonjwa huo yakiongezeka barani humo.
-
Rouhani: Wananchi wa Iran hawawi wenzo wa kufanyia majaribio ya chanjo za nchi za kigeni
Jan 09, 2021 13:01Rais Hassan Rouhani amesema, wananchi wa Iran hawatakuwa wenzo wa kufanyia majaribio chanjo za nchi za kigeni.
-
Corona yapamba moto tena Uingereza
Jan 07, 2021 07:13Maafisa wa serikali ya Uingereza wametoa takwimu mpya zinazoonyesha kuwa zaidi ya watu elfu moja wameaga dunia kutokana na virusi vya corona katika siku 28 za hivi karibuni.
-
Amnesty yataka Israel ihakikishe chanjo za corona zinawafikia Wapalestina
Jan 07, 2021 02:36Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel utekeleze wajibu wake wa kimataifa na kuhakikisha kuwa chanjo za kupambana na ugonjwa wa Covid-19 zinawafikia wananchi wa Palestina.
-
Muuguzi aaga dunia siku 2 baada ya kupewa chanjo ya Covid-19 Ureno
Jan 06, 2021 04:42Maafisa wa afya nchini Ureno wanachunguza kisa cha kufariki dunia ghafla muuguzi mmoja, saa 48 baada ya kupigwa chanjo ya kumkinga dhidi ya virusi vya corona.
-
Mateka 15 Wapalestina walioko kwenye gereza la Israel la An-Naqb wameambukizwa corona
Jan 03, 2021 02:53Ofisi ya habari inayoshughulikia masuala ya mateka Wapalestina imetangaza kuwa mateka 15 Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye jela ya Kizayuni ya An-Naqb wameambukizwa virusi vya corona.