-
Fauci: Marekani itaendelea kusumbuliwa na corona hadi msimu wa vuli
Jan 01, 2021 13:19Mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa ya Mzio na Magonjwa ya Kuambukiza ya Marekani (NIAID) ametangaza kuwa, nchi hiyo itaendelea kusumbuliwa na virusi vya corona hadi msimu wa vuli wa mwaka huu mpya wa 2021.
-
Raisi: Chanjo ya corona ya Iran hadi sasa haijaonesha athari yoyote hasi + Video
Dec 30, 2020 15:55Naibu Waziri wa Afya na Mafunzo ya Tiba wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hadi hivi sasa hakuna athari zozote hasi zilizooneshwa na watu waliofanyiwa majaribio hayo, licha ya kupita zaidi ya masaa 24 ya tangu kudungwa chanjo hiyo.
-
Watu 340,000 wamepoteza maisha kutokana na corona Marekani
Dec 27, 2020 15:25Takwimu zinaoneysha kuwa watu karibu milioni 19 na nusu wameambukizwa COVID-19 au corona nchini Marekani huku wengine zaidi ya 339,992 wakipoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.
-
Watu wengine 134 waaga dunia kwa Covod-19 nchini Iran
Dec 26, 2020 14:31Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema kuwa, watu wengine zaidi ya elfu 5 wameambukizwa virusi vya corona na wengine 134 wamefariki dunia kwa Covid-19 katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Kongo DR yatangaza masharti mapya ya kudhibiti msambao wa corona
Dec 17, 2020 04:40Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza maagizo mapya kadhaa ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa wa Covid-19, huku idadi ya kesi za maambukizo ya virusi vya corona ikiongezeka.
-
Ghanei: Iran ina uwezo wa utafiti wa kisayansi na kitiba wa kiwango cha juu katika eneo
Nov 26, 2020 07:55Mkuu wa Kamati ya Kielimu ya Idara ya Kitaifa ya Kupambana na Virusi vya Corona nchini Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo wa kiutafiti wa kiwango cha juu katika uwanja wa sayansi na tiba khususan baina ya nchi za eneo.
-
Watu wengine 431 wameaga dunia kwa corona nchini Iran
Nov 21, 2020 12:12Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema kuwa, watu wengine zaidi ya elfu 12 wameambukizwa virusi vya corona na wengine 431 wamefariki dunia katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Takwimu za AU: Kesi za corona barani Afrika zapindukia milioni mbili
Nov 19, 2020 11:21Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Barani Afrika leo vimeripoti kuwa, kesi za maambukizi ya corona barani humo zimepindukia milioni mbili licha ya kuwepo ongezeko dogo la maambukizi yanayoripotiwa ikilinganishwa na mabara mengine duniani.
-
Naibu Waziri wa Afya: Chanjo ya corona ya Iran iko kwenye awamu ya utengenezaji
Nov 13, 2020 08:04Naibu Waziri wa Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu wa Iran anayehusika na teknolojia na utafiti amesema, chanjo ya ugonjwa wa Covid-19 iliyobuniwa hapa nchini iko kwenye awamu ya utengenezaji.
-
Utafiti: 20% ya wagonjwa wa corona wanapatwa na matatizo ya akili
Nov 10, 2020 07:18Utafiti mpya unaonyesha kuwa, mgonjwa mmoja kati ya watano wa maradhi ya Covid-19 anakumbwa na magonjwa ya kisaikolojia, ndani ya miezi mitatu baada ya kugundulika kuwa ameambukizwa ugonjwa huo.