-
Walioathiriwa kiuchumi na corona Mombasa, Kenya kupata msaada wa kifedha
Nov 01, 2020 02:58Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP kwa kushirikiana na serikali ya Kenya limezindua mpango wa ugawaji fedha taslimu kwa familia 24,000 mjini Mombasa, Kenya katika makazi yasiyo rasmi ambao maisha yao yamesambaratika kiuchumi kutokana na janga la COVID-19 au corona.
-
Magoha: Kesi mpya za Covid-19 hazitapelekea kufungwa shule Kenya
Oct 23, 2020 15:37Waziri wa Elimu wa Kenya George Magoha amekataa suala la kufungwa shule kwa sababu ya kesi mpya za Covid-19 zilizoripotiwa kati ya wanafunzi na walimu baada ya wanafunzi wa darasa la 4, darasa la 8 na Kidato cha Nne kurejea mashuleni.
-
Waliopona COVID-19 Iran wapindukia 420K
Oct 16, 2020 12:13Msemaji wa Wizara ya Afya ya Iran Sima Sadat Lari ametangaza kuwa hadi sasa watu 522,387 wameambukizwa corona nchini Iran na miongoni mwao 420, 910 wamepona.
-
WHO: Corona imezidisha idadi ya wenye kupatwa na matatizo za kiakili Afrika
Oct 09, 2020 07:54Shirika la Afya Duniani (WHO) limetadharisha juu ya ongezeko la watu wanaokumbwa na matatizo ya kisaikolojia barani Afrika, kutokana na athari hasi za janga la corona.
-
UN: Corona kuongeza idadi ya watoto wanaozaliwa wakiwa wameshakufa
Oct 09, 2020 02:37Takwimu rasmi zinaonesha kuwa, mtoto mmoja huzaliwa akiwa ameshakufa katika kila sekunde 16, ikiwa ni takriban watoto milioni mbili kila mwaka kote duniani.
-
Mivutano baina ya Marekani na China yashadidi baada ya hotuba ya Trump katika Umoja wa Mataifa
Sep 24, 2020 08:10Katika hotuba yake ya mwisho kwenye ukumbi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa katika kipindi chake cha kwanza cha urais wa Marekani, Donald Trump amejikita zaidi katika masuala ya China na Iran na kudai kuwa, Marekani imejiondoa katika makubaliano mabaya sana ya nyuklia ya JCPOA na imeiwekea Iran vikwazo vya kulema.
-
UN yakosoa ukosefu wa ushirikiano wa kimataifa katika kupambana na virusi vya corona
Sep 14, 2020 12:21Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa ukosefu wa umoja na ushirikiano wa kutosha baina ya watu duniani kwa ajili ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Sherehe za harusi zaruhusiwa Rwanda, lakini...
Sep 07, 2020 15:40Wizara ya serikali za mitaa nchini Rwanda imetangaza masharti mapya kwa watu wanaojiandaa kufunga pingu za maisha kwa kuwataka watu watakaohudhuria harusi zao wawe wamepima corona kwa muda wa saa 72 zilizopita kabla ya harusi yenyewe. Hata hivyo gharaza upimaji zitakuwa dola 50 kwa kila mtu mmoja kitu ambacho wananchi wamekilalamikia. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.
-
Rais wa Baraza Kuu la UN atofautiana na Trump kuhusu chanjo ya corona
Sep 05, 2020 10:48Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema chanjo ya ugonjwa wa Covid-19 inapasa wapewe watu wote wanaoihitaji, na kwamba kuna udharura kwa nchi zote kushirikishwa katika mchakato wa kutengeneza na kugawa chanjo yenyewe.
-
Baada ya vitisho, Marekani yatangaza tarehe ya kujiondoa WHO
Sep 04, 2020 07:10Miezi michache baada ya Marekani kuamua kulikatia misaada yote ya kifedha Shirika la Afya Duniani kwa madai kwamba linadhibitiwa na China, sasa utawala wa Donald Trump umeenda mbali zaidi ya kuainisha tarehe ya kujiondoa WHO.