-
AfrikaCDC: Nchi zote zinapaswa kuchangia jitihada za kimataifa ili kupata chanjo ya Covid-19
Sep 03, 2020 11:31Nchi zote zinapaswa kuchangia jitihada za kimataifa ili kununua na kusambaza chanjo za kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona duniani kote. Hayo yameelezwa leo na Vituo vya Kukabiliana na Kuzuia Magonjwa Barani Afrika.
-
Sudan Kusini yaomba mkopo wa dola milioni 150 wa kukabiliana na athari mbaya za corona
Aug 25, 2020 11:43Serikali ya Sudan Kusini imesema kuwa, imeiomba Banki ya Afrika ya Uingizaji na Usafirishaji Nje Bidhaa (Afreximbank) iipe mkopo nchi hiyo wa kuweza kukabiliana na athari mbaya za COVID-19.
-
Nigeria yatishia kuwapiga marufuhu raia wa nchi zinazowazuia Wanigeria kuingia
Aug 22, 2020 07:42Serikali ya Nigeria imetishia kuwapiga marufuku kuingia nchini humo raia wa nchi ambazo zinawazuia Wanigeria kuingia katika nchi hizo kutokana na janga la corona. Hayo yalisemwa jana na Waziri wa usafiri wa anga wa Nigeria, Hadi Sirika.
-
Iran yapiga hatua kubwa katika kutengeneza vifaa na dawa za kukabiliana na corona
Aug 08, 2020 13:36Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Maendelo ya Teknolojia ya Masuala ya Afya ya Wizara ya Afya ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imepiga hatua kubwa na kwenda bega kwa bega na nchi zilizoendelea duniani kutokana na jitihada kubwa zinazofanywa na mkampuni ya sayansi ya kutengeneza zana na kuzalisha vifaa vya kuzuia, kubaini na kutibu virusi vya corona.
-
Janga la corona kusababisha watu milioni 50 Afrika kukumbwa na umaskini
Jul 10, 2020 07:38Watu milioni 50 katika nchi za Afrika yumkini wakatumbukia katika lindi la umaskini wa kupindukia kutokana na makali ya janga la corona.
-
Burundi yabadili sera, yaanza upimaji COVID-19 mjini Bujumbura
Jul 08, 2020 02:55Serikali ya Burundi imezindua operesheni ya upimaji mkubwa wa maambukizi ya COVID-19 katika mji mkuu wa kibiashara wa nchi hiyo Bujumbura.
-
UN: Magaidi na wenye chuki wanatumia janga la corona kuendeleza ajenda zao
Jul 07, 2020 07:23Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema magenge ya kigaidi na makundi ya kibaguzi na yenye misimamo mikali yanatumia janga la kimataifa la corona kuendeleza ajenda zao hususan kupanda mbegu za chuki na uhasama katika jamii.
-
UN: Athari za corona kuua watoto 50,000 Afrika Kaskazini na Asia Magharibi
Jun 15, 2020 15:10Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, yumkini athari za ugonjwa wa COVID-19 zikaua makumi ya maelfu ya watoto katika nchi za kaskazini mwa Afrika na Asia Magharibi.
-
Madaktari wasio na mipaka watahadharisha kuhusu kusambaratika mfumo wa afya na tiba Yemen
Jun 14, 2020 10:32Mkuu wa wahudumu wa Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) huko Yemen amesema kuwa hali ya kiafya na kitiba katika nchi hiyo iliyokumbwa na vita imezidi kuwa ya hatari kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
'Ugonjwa usiojulikana' waua makumi Darfur, Sudan
Jun 13, 2020 12:39Maafisa wa afya nchini Sudan wameeleza wasiwasi mkubwa walionao kutokana na ongezeko la vifo 'visivyo vya kawaida' katika kambi za wakimbizi katika eneo la Darfur.