-
Ndege ya Iran iliyobeba msaada wa COVID-19 yawasili Venezuela
Jun 09, 2020 08:04Serikali ya Venezuela imesema ndege ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iliyobeba msaada wa dharura kwa ajili ya waathirika wa ugonjwa wa COVID-19 iliwasili nchini humo jana Jumatatu.
-
Afrika Kusini yafungua shule licha ya hofu ya wazazi na walimu
Jun 08, 2020 12:18Wanafunzi nchini Afrika Kusini wameanza kurejea shuleni Jumatatu ya leo baada ya skuli hizo kufungwa kwa miezi kadhaa kutokana na janga la corona.
-
Nigeria yalegeza sheria za kudhibiti corona, yafungua misikiti
Jun 06, 2020 08:02Nigeria imeanza kuondoa zuio na kulegeza sheria kali ilizokuwa imeweka kwa ajili ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Covid-19 ulioua mamia ya watu nchi humo.
-
Baada ya vitisho, hatimaye Trump akata uhusiano na WHO
May 30, 2020 08:10Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kukata uhusiano na Shirika la Afya Duniani WHO, akidai kuwa taasisi hiyo ya kimataifa ni kikaragosi cha China.
-
Iran yapeleka Denmark mashine za kuzalisha barakoa
May 28, 2020 07:57Makamu wa Rais wa Iran wa Masuala ya Sayansi na Teknolojia amesema Jamhuri ya Kiislamu imepeleka nchini Denmark mashine za kuzalisha barakoa za kujikinga virusi vya corona.
-
Corona yawakatizia watoto milioni 80 chanjo za polio, surua na kipindupindu
May 23, 2020 07:59Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa janga la corona limevuruga mpango wa utoaji wa chanjo za magonjwa ya kupooza (polio), surua na kipindupindu kwa makumi ya mamilioni ya watoto duniani.
-
Onyo la Steven Mnuchin juu ya uwezekano wa kusambaratika uchumi wa Marekani
May 17, 2020 12:21Kuenea kwa virusi vya Corona nchini Marekani kumeisababishia jamii ya nchi hiyo matatizo makubwa ya kila upande hususan kwenye upande wa uchumi.
-
Waliopona ugonjwa wa COVID-19 nchini Iran wakaribia 92,000
May 15, 2020 12:32Mkuu wa Idara ya Mawasiliano ya Umma na Upashaji Habari ya Wizara ya Afya ya Iran ametangaza kuwa, hadi hivi sasa waathiriwa zaidi ya 91,836 wa ugonjwa wa COVID-19 au corona humu nchini wamepata afueni na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini.
-
ECA: Zuio la mwezi mmoja la COVID-19 litaisababishia Afrika hasara ya dola bilioni 65
May 11, 2020 15:11Zuio kamili la mwezi mmoja kwa Afrika litagharimu asilimia 2.5 ya Pato la Jumla (GDP) kwa mwaka barani humo, ambayo ni sawa na dola za kimarekani bilioni 65.7.
-
China yatoa radiamali kufuatia madai ya Uingereza kuhusu chanzo cha Corona
May 06, 2020 04:33Balozi wa China mjini London, ametahadharisha kwamba madai ya baadhi ya viongozi wa Uingereza kwamba virusi vya Corona vilitengenezwa katika maabara moha ya mji wa Wuhan nchini China, yatakuwa na taathira hasi kwenye uhusiano wa nchi mbili.