Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

corona

  • Rais Magufuli awataka Watanzania wachape kazi licha ya maambukizi ya corona

    Rais Magufuli awataka Watanzania wachape kazi licha ya maambukizi ya corona

    May 03, 2020 11:20

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania amewataka wananchi wa nchi hiyo wasiwe na hofu yoyote ya corona na waendelee kuchapa kazi kama kawaida.

  • Iran yashika nafasi ya pili katika kutibu Corona duniani

    Iran yashika nafasi ya pili katika kutibu Corona duniani

    May 02, 2020 11:18

    Takwimu rasmi zilizotolewa na mashirika ya kimataifa zinaonyesha kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeshika nafasi ya pili duniani katika uga wa kutibu na kuwezesha kupata afweni waathirika wa virusi vya Corona.

  • Kushindwa kupitishwa azimio la kusitisha vita dunia nzima kutokana na tofauti za Marekani na China

    Kushindwa kupitishwa azimio la kusitisha vita dunia nzima kutokana na tofauti za Marekani na China

    May 02, 2020 01:33

    Kuenea virusi vya corona dunia nzima na maradhi ya COVID-19 yanayosababishwa na virusi hivyo na hali maalumu ya dharura inayotawala ulimwenguni hivi sasa kumeongeza maradufu umuhimu wa kuwepo mshikamano mkubwa zaidi kimataifa; na kwa sababu hiyo Umoja wa Mataifa umetaka kukomeshwa mapigano yanayoendelea katika maeneo tofauti ya dunia.

  • Afrika Kusini yataka Zimbabwe na Sudan ziondolewe vikwazo ili zipambane na corona

    Afrika Kusini yataka Zimbabwe na Sudan ziondolewe vikwazo ili zipambane na corona

    Apr 23, 2020 11:39

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametaka vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Zimbabwe na Sudan viondolewe ili kuzisaidia nchi hizo katika vita dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.

  • Mtihani wa Corona na sisitizo la Italia la kutokuwepo mshikamano ndani ya Umoja wa Ulaya

    Mtihani wa Corona na sisitizo la Italia la kutokuwepo mshikamano ndani ya Umoja wa Ulaya

    Apr 22, 2020 10:17

    Kuenea kwa kiasi kikubwa virusi vya Corona barani Ulaya na mgogoro unaotokana na janga hilo, kumezifanya nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya EU kukosoa baadhi ya sheria zake na kusema kuwa haujakuwa na radiamali wala kuonyesha mshikamano uliotarajiwa kuhusiana na janga hilo.

  • Wauguzi wagoma Malawi wakati wa janga la corona

    Wauguzi wagoma Malawi wakati wa janga la corona

    Apr 22, 2020 08:02

    Mgomo wa kitaifa wa wauguzi nchini Malawi umekwamisha shughuli katika hospitali za umma wakati huu ambapo nchi hiyo inapambana na ugonjwa wa corona au Covid-19.

  • Rais Kenyatta awasihi Wakenya wachukulie kwa uzito janga la corona

    Rais Kenyatta awasihi Wakenya wachukulie kwa uzito janga la corona

    Apr 22, 2020 07:14

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema hatua ya Wakenya kutoupa uzito unaotakiwa ugonjwa wa COVID-19 au corona ndio changamoto kubwa zaidi ya serikali yake katika kukabiliana na ugonjwa huo hatari.

  • Rais Rouhani: Inapasa nchi zote zitangaze misimamo yao kuhusu hatua za kiuadui za Marekani

    Rais Rouhani: Inapasa nchi zote zitangaze misimamo yao kuhusu hatua za kiuadui za Marekani

    Apr 22, 2020 03:14

    Rais Hassan Rouhani amesema: Katika mazingira maalumu ya hivi sasa yanayotokana na kuenea virusi vya corona duniani, nchi zote zinapaswa kuwa bega kwa bega katika kupambana na kirusi hicho angamizi na kutangaza kwa uwazi kabisa misimamo yao kuhusiana na hatua za kiuadui za Marekani.

  • Mawaziri wa Afya wa G20 wakiri: Mfumo wa afya duniani ni dhaifu, wajadili njia za kuuimarisha

    Mawaziri wa Afya wa G20 wakiri: Mfumo wa afya duniani ni dhaifu, wajadili njia za kuuimarisha

    Apr 21, 2020 06:09

    Mawaziri wa Afya wa nchi wanachama katika G20 walioshiriki kwenye mkutano uliofanyika kwa njia ya video wamechunguza athari mbaya za mlipuko wa virusi vya corona na kukiri kwamba, mfumo wa afya duniani ni dhaifu na kwamba mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona umeweka wazi uhakika huo.

  • Tuhuma nyingine za Trump dhidi ya China; jitihada za kuhalalisha kufeli kwake

    Tuhuma nyingine za Trump dhidi ya China; jitihada za kuhalalisha kufeli kwake

    Apr 18, 2020 10:57

    Maambukizi ya virusi vya corona na ugonjwa wa Covid-19 hivi sasa yameilenga zaidi Marekani na watu wa nchi hiyo. Pamoja na hayo yote, utendaji wa serikali ya Trump katika uwanja huo ambao umeambatana na upuuzaji, kuchelewa kuchukua hatua na rais huyo kuendelea kung'ang'ania makosa yake, yote hayo yamewakasirisha sana wananchi wa Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS