Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

corona

  • Marekani yasajili vifo vya zaidi ya watu 4,591 vya corona katika masaa 24

    Marekani yasajili vifo vya zaidi ya watu 4,591 vya corona katika masaa 24

    Apr 17, 2020 13:42

    Idadi ya watu waliofariki dunia jana nchini Marekani kutokana na virusi vya corona imeweka rekodi mpya na kuwa karibu mara dufu ya idadi ya vifo vya wahanga wa ugonjwa huo vilivyoripotiwa siku ya kabla yake, juzi Jumatano.

  • "Gwaride la Huduma": Jeshi la Iran liko pamoja na wananchi katika vita dhidi ya corona

    Apr 17, 2020 09:35

    Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima hulinda kiwango cha uwezo wake wa kiulinzi na kumzuia adui kuanzisha mashambulizi na wakati huo huo huwa pamoja na wananchi wakati wa maafa au majanga na kuwasaidia kutatua matatizo yao.

  • Tahadhari ya Russia kuhusiana na kuutumia kisiasa mgogoro wa corona

    Tahadhari ya Russia kuhusiana na kuutumia kisiasa mgogoro wa corona

    Apr 17, 2020 04:23

    Katika kipindi hiki cha mgogoro wa mlipuko wa virusi vya corona, Marekani ambayo ni kinara wa nchi za Magharibi imeendeleza siasa zake zisizo za kibinadamu dhidi ya nchi hasimu na wapinzani wake, hususn katika kuzidisha vikwazo vya kiuchumi na kuzizuia kupata misaada ya kimataifa. Suala hili limekosolewa sana na madola mengine makubwa duniani.

  • Indhari ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na kugeuka virusi vya Corona na kuwa janga la njaa

    Indhari ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na kugeuka virusi vya Corona na kuwa janga la njaa

    Apr 15, 2020 03:59

    Kuibuka virusi vya Corona na maradhi ya Covid-19 ulimwenguni, kumeifanya jamii ya mwanadamu ikabiliwe na tatizo ambalo halijawahi kushuhudiwa, mgogoro ambao unaweza kuitwa janga la kimataifa la Corona.

  • Kushadidi vita nchini Libya katika kivuli cha virusi vya Corona

    Kushadidi vita nchini Libya katika kivuli cha virusi vya Corona

    Apr 14, 2020 11:13

    Licha ya kuibuka virusi vya Corona na kuenea kote ulimwenguni na hilo kupelekea kusitishwa vita na mapigano katika maeneo mengi ya dunia, lakini nchini Libya kwa sasa vita vimeshika kasi.

  • Maelfu wakamatwa Morocco baada ya kukiuka sheria ya hali ya hatari kuhusu corona

    Maelfu wakamatwa Morocco baada ya kukiuka sheria ya hali ya hatari kuhusu corona

    Apr 14, 2020 02:31

    Watu zaidi ya 4,300 wamekamatwa nchini Morocco katika kipindi cha siku chache zilizopita baada ya kukiuka sheria ya hali ya hatari ambayo inatekelezwa ili kuzuia kuenea ugonjwa hatari wa corona au COVID-19 katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Hatimaye corona yailazimisha Tanzania kupiga marufu safari za ndege, Marekani yaongoza kwa vifo na maambukizi

    Hatimaye corona yailazimisha Tanzania kupiga marufu safari za ndege, Marekani yaongoza kwa vifo na maambukizi

    Apr 13, 2020 03:46

    Hatimaye serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepiga marufuku safari zote za ndege za abiria za kimataifa ikiwa ni siku chache tu baada ya Rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo kusisitizia msimamo wake wa kutofunga mipaka ya Tanzania akisema kuwa kufunga mipaka hiyo kutaziletea madhara makubwa nchi jirani kama za Uganda, Rwanda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Mkakati wa UNHCR wa kuzuia corona katika kambi za wakimbizi Warohingya

    Mkakati wa UNHCR wa kuzuia corona katika kambi za wakimbizi Warohingya

    Apr 10, 2020 02:34

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limetangaza kuchukua hatua za kujiandaa kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 au corona katika kambi za wakimbizi Warohingya nchini Bangladesh.

  • Indhari ya WTO ya kutokea mgogoro mkubwa zaidi wa kiuchumi katika historia ya mwanadamu

    Indhari ya WTO ya kutokea mgogoro mkubwa zaidi wa kiuchumi katika historia ya mwanadamu

    Apr 10, 2020 02:32

    Mlipuko wa virusi vya Corona na maradhi ya Covid-19 kwa sasa umeenea karibu katika mataifa yote ya ulimwengu.

  • Kiongozi Muadhamu: Hitajio la mwanadamu wa leo kwa mkombozi ni nadra kuwahi kushuhudiwa katika historia

    Kiongozi Muadhamu: Hitajio la mwanadamu wa leo kwa mkombozi ni nadra kuwahi kushuhudiwa katika historia

    Apr 09, 2020 13:11

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema hitajio la kina na pana la mwanadamu wa leo la kuwa na mkombozi ni nadra kushuhudiwa katika historia. Amesisitiza kuwa, maana halisi na yenye manufaa ya kusubiri mwokozi ni kuwa na matumaini na itikadi kuhusu faraja sambamba na kuchukua hatua za kufikia mustakbali mwema na akaongeza kuwa: "Taifa la Iran limefaulu vizuri katika mtihani wa ugonjwa wa hivi karibuni; na mwenendo na nidhamu ya umma ni nzuri katika kufuata maelekezo."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS