-
Katibu Mkuu wa UN asisitiza kuiunga mkono WHO baada ya matamshi ya Trump
Apr 09, 2020 11:19Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema Shirika la Afya Duniani, WHO, ambalo ni taasisi ya umoja huo, linapasa kuungwa mkono duniani kote, akisema kuwa chombo hicho kimekuwa muhimu sana kikichukua msimamo wa kimataifa kukabiliana na mlipuko wa janga la ugonjwa wa COVID-19 au corona.
-
Kukabiliana na corona; kubadilisha tishio kuwa fursa
Apr 06, 2020 12:01'Nina matumaini kuhusu mafanikio ya Iran katika kukabiliana na virusi vya corona." Hiyo ni kauli ya Daktari Richard Brennan, mkuu wa ujumbe wa Shirika la Afya Duniani (WHO) uliotembelea Iran mwezi uliopita. Akizungumza na waandishi habari mjini Tehran aliongeza kuwa: "Tunawapongeza na tunajivunia wafanyakazi wa sekta ya tiba Iran kutokana na uchapakazi wao."
-
Uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kupunguza vikwazo dhidi ya Syria, Libya na Yemen
Apr 05, 2020 07:28Kufuatia kuenea janga la corona kote duniani, na pamoja na kuwepo sisitizo la ushirikiano wa kimataifa katika kudhibiti na kupunguza kuenea corona, kuendelea vikwazo vya baadhi ya nchi, ikiwemo Marekani, ni chanzo cha kuvurugika vita dhidi ya corona. Vikwazo hivyo vimezuia nchi nyingi kupata bidhaa na vifaa vya kiafya vinavyohitajika kukabiliana na janga la corona.
-
Mkuu wa vyuo vya kidini Iran amuandikia barua Papa Francis kuhusu corona
Apr 05, 2020 03:17Mkuu wa vyuo vya kidini katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemuandikia barua Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, na kusema vyuo vya kidini Iran viko tayari kubadilishana uzoefu na vyuo vya kidini na viongozi wa dini za mbinguni kote duniani.
-
Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni tishio kwa afya ya dunia
Apr 04, 2020 12:16Vikwazo vya kitiba vya serikali ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni ‘tishio ambalo halijawahi kushuhudiwa’ dhidi ya afya ya umma duniani.
-
Marekani yafanya "uharamia" wa kuiba maski za Wajerumani zilizokuwa zinatokea China
Apr 04, 2020 12:07Ujerumani imeituhumu Marekani kuwa imetumia mbinu za uharamia katika kupora maski zake za kukabiliana na ugonjwa wa corona.
-
Katibu Mkuu wa UN atoa wito wa kutekelezwa kivitendo usitishaji vita duniani
Apr 04, 2020 11:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema wito wake wa kimataifa alioutoa wiki iliyopita wa usitishwaji vita umepokelewa vyema kote duniani.
-
Iran yazindua mfumo mpya wa kupima COVID-19
Apr 04, 2020 11:39Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua mfumo mpya wa kupima ugonjwa wa COVID-19 au corona. Mfumo huo unatumia Akili Bandia au Artificial Intelligence na unatumia taswira za mashine ya CT Scan kubainisha kuwepo ugonjwa wa corona katika mwili wa binadamu.
-
Maambukizi ya corona na kutoweka kwa maadili ya kibinadamu katika nchi za Magharibi
Apr 04, 2020 11:26Baada ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona katika pembe mbalimbali za dunia hivi sasa Magharibi hususan nchi za Ulaya na Marekani zimekuwa kitovu kikuu cha maambukizi ya virusi hivyo.
-
Madai ya uongo ya Trump kuwa eti Iran haijaomba kupunguziwa vikwazo
Apr 04, 2020 04:13Baada ya kujitoa bila ya sababu katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 serikali ya Donald Trump huko Marekani iliirejeshea Iran vikwazo vyote vilivyokuwa vimeondolewa baada ya kufikiwa makubaliano hayo, bali iiiwekea Tehran vikwazo vya kiwango cha juu kabisa kama anavyojitapa mara kwa mara Donald Trump.