-
Uafriti wa Trump wa kuanzisha chokochoko na mivutano katika eneo kwa kuzusha tuhuma dhidi ya Iran
Apr 03, 2020 06:57Licha ya hali ya dharura na isiyo ya kawaida iliyopo kimataifa kutokana na mripuko wa janga la corona lililoikumba dunia nzima, Marekani ingali inaendelea kufuata muelekeo wa utumizi wa nguvu za kijeshi na kushikilia kuchukua hatua za kijeshi katika siasa zake za nje.
-
Marekani yakiri kuiwekea Iran vikwazo vya dawa
Mar 31, 2020 08:19Kuendelea vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu hata katika mazingira haya magumu ya kuenea virusi vya corona na kuwekwa vizingiti vya kila aina katika njia ya kudhaminiwa vifaa vya afya na matibabu kwa ajili ya kukabiliana na virusi hivyo, kumewafanya wengi wakiri kuwa 'mashinikizo ya juu zaidi' ya Marekani dhidi ya Iran yanajumuisha hata mfumo wa afya na tiba wa nchi hii.
-
Kenya yazindua mpango wa kupima corona kwa watu wengi
Mar 30, 2020 08:19Wizara ya afya ya Kenya imeanza kufanya upimaji wa ugonjwa wa COVID-19 au corona kwa watu wote walioingia nchini humo wiki iliyopita na wale waliowekwa karantini kwenye vituo vya serikali au hoteli zilizoteuliwa.
-
Sisitizo la Marekani kuendeleza operesheni za kijeshi nje ya nchi licha ya maambukizi ya Corona
Mar 30, 2020 02:29Kuenea kusiko kwa kawaida kwa virusi angamizi vya Corona duniani, kumezifanya nchi nyingi za dunia kukumbwa na hali ngumu na matatizo.
-
Vikwazo vipya vya Marekani; sisitizo la Washington la kuendeleza sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran
Mar 28, 2020 06:17Licha ya matakwa na mashinikizo ya kimtaifa ya kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran hasa kwa kuzingatia mlipuko wa virusi vya corona na kuweko ulazima wa kukabiliana navyo, lakini serikali ya Washington inasisitiza kuendeleza utendaji wake usio wa kiutu na kibinadamu.
-
Zaidi ya watu 11 elfu wapata nafuu baada ya kuugua COVID-19 nchini Iran
Mar 27, 2020 13:35Wizara ya Afya ya Iran imetangaza kuwa, hadi leo Ijumaa mchana, watu 11 elfu na 133 walikuwa wameshapata nafuu na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka hospitalini hapa nchini baada ya kuugua ugonjwa wa COVID-19.
-
Shamkhani: Uwezo wa miundomsingi ya Iran katika kupambana na janga la corona uko wazi
Mar 27, 2020 02:39Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesisitiza kuwa kwa baraka ya Mapinduzi ya Kiislamu muujiza wa uwezo na nguvu ya miundomsingi katika kukabiliana na janga la corona unadhiri wazi
-
Hitilafu za kisiasa zaongezeka nchini Marekani kuhusu makabiliano na Corona
Mar 26, 2020 05:28Kuenea virusi vya Corona na ugonjwa wa Covid-19 nchini Marekani si tu kwamba kumekuwa na taathira kubwa za kiuchumi na kijamii, bali pia kumegeuka na kuwa mjadala mkubwa ndani ya Bunge la Kongresi na ikulu ya White House.
-
Waziri wa Ulinzi wa Sudan afariki akiwa Juba, Sudan Kusini
Mar 25, 2020 07:23Waziri wa Ulinzi wa Sudan, Luteni Jenerali Jamaleldin Omar, amekufa kufuatia mshtuko wa moyo akiwa Sudan Kusini wakati akishiriki katika mazungumzo ya amani baina ya serikali na waasi mjini Juba.
-
Mwito wa wabunge wa Marekani wa kupunguzwa vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran
Mar 25, 2020 07:01Baada ya serikai ya Trump huko Marekani kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018, ilianza kuiwekea Iran vikwazo vya kila namna ambavyo Trump anajingamba kuwa hakuna nchi yoyote duniani iliyowahi kuwekewa vikwazo vikubwa, vikali na vingi kama alivyoiwekea Iran.