-
Shamkhani: Watawala wa Marekani wanatumia corona kama fursa ya kuendeleza uhasama
Mar 25, 2020 02:30Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesisitiza kuwa: "Watawala wa Marekani wanatumia corona kama fursa ya kuendeleza uhasama."
-
Michezo ya Olympiki ya Tokyo 2020 yaahirishwa kutokana na corona
Mar 25, 2020 02:29Michezo ya Olympiki ya Tokyo iliyokuwa imepangwa kufanyika mwaka huu imeahirishwa hadi mwaka 2021 baada ya mazungumzo baina ya Waziri Mkuu wa Japan Abe Shinzo, na rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki, Thomas Bach.
-
Jeshi la IRGC Iran laanza mazoezi ya kujihami kibiolojia kukabiliana na corona
Mar 25, 2020 02:29Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema jeshi hilo leo linafanya mazoezi ya kitaifa ya kujihami kibiolojia kote nchini Iran ikiwa ni katika sehemu ya oparesheni za kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 au corona.
-
Kukaribisha Umoja wa Mataifa makubaliano ya usitishaji vita katika vita vya ndani nchini Libya
Mar 24, 2020 13:30Vita vya ndani nchini Livya viliibua wasiwasi mkubwa kufuatia mashambulio ya mara kwa mara ya Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na jenerali Khalifa Haftar yaliyoanza Aprili mwaka jana kwa shabaha ya kuiangusha Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa.
-
Nchi 40 za Afrika zaripoti kesi 1,114 za corona, watu 28 wafariki dunia
Mar 22, 2020 13:29Idadi ya watu waliothibitishwa kuambukizwa ugonjwa wa COVID-19 au corona kote Afrika imeongezeka na kufika watu 1,114 katika nchi 40 barani humo.
-
Utabiri wa kupungua asilimia 24 ya pato ghafi la ndani Marekani kwa sababu ya corona
Mar 22, 2020 07:00Maambukizi ya virusi vya corona na ugonjwa wa COVID-19 yameathiri sana uchumi wa dunia na kuacha taathira kubwa hasi kwa uchumi wa Marekani. Utabiri unaonyesha kuwa, uchumi wa Marekani unakabiliwa na hali ngumu kupita kiasi.
-
Kuthibitika kuwa uchumi wa Marekani umeingia katika mdororo mkubwa
Mar 21, 2020 06:08Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitumai kutumia madai yake ya mafanikio ya kiuchumi katika kampeni zake za uchaguzi wa rais nchini humo mwaka huu wa 2020, lakini hakuwa ametabiri kuhusu kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona ambao umepelekea kuporomoka masoko ya hisa Marekani na hivyo kuingiza uchumi huo mkubwa zaidi duniani katika mdororo.
-
Ugonjwa wa corona wazidi kuenea Afrika, 800 waambukizwa
Mar 21, 2020 01:35Kesi za maambukizi ya ugonjwa wa corona au COVID-19 barani Afrika zimepita 800 hadi kufikkia Ijumaa huku nchi mbalimbali zikiiimarisha hatua za kukabiliana na ugonjwa huo unaoenea kwa kasi kote duniani.
-
Majeshi ya Iran yashukuriwa kwa kufanya jitihada kubwa katika vita dhidi ya corona
Mar 21, 2020 01:34Waziri wa Afya nchini Iran amesema kuwa, ushirikiano mkubwa wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hasa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni jambo ambalo limewafurahisha madaktari wa Iran katika vita dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona.
-
Serikali ya Guinea yasema ugonjwa wa corona hautazuia uchaguzi
Mar 21, 2020 01:34Serikali ya Guinea-Conakry imesisitiza kufanyika kwa uchaguzi wa wabunge na kura ya maoni ya katiba pamoja na kuwa wapinzani wanataka uchaguzi usitishwe kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.