Sherehe za harusi zaruhusiwa Rwanda, lakini...
Sep 07, 2020 15:40 UTC
Wizara ya serikali za mitaa nchini Rwanda imetangaza masharti mapya kwa watu wanaojiandaa kufunga pingu za maisha kwa kuwataka watu watakaohudhuria harusi zao wawe wamepima corona kwa muda wa saa 72 zilizopita kabla ya harusi yenyewe. Hata hivyo gharaza upimaji zitakuwa dola 50 kwa kila mtu mmoja kitu ambacho wananchi wamekilalamikia. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.
Tags