-
Chanzo cha ugonjwa wa Uviko-19 bado hakijulikani baada ya utafiti wa miaka kadhaa
Jun 28, 2025 04:14Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza kuwa jitihada za kujua asili na chanzo cha janga la ugonjwa wa COVID-19 bado zinaendelea na hazijakamilika, kwa sababu hakuna taarifa muhimu zilizotolewa hadi sasa.
-
AstraZeneca imeondoa sokoni chanjo yake ya Covid-19
May 09, 2024 03:39Kampuni kubwa ya Madawa ya AstraZeneca imeliomba rasmi Shirika la Madawa la Ulaya kuondoa idhini yake ya chanjo ya COVID-19.
-
China yatoa tahadhari ya kuibuka tena mripuko wa COVID-19 kupitia spishi ya aina nyingine
Jan 16, 2024 03:24Maafisa wa Afya nchini China wametahadharisha juu ya uwezekano wa kuibuka tena mripuko wa ugonjwa wa COVID-19 katika mwezi huu wa Januari, utakaochochewa na kuongezeka maambukizi ya spishi mpya ya JN.1.
-
Mgogoro wa nishati umeua watu wengi Ulaya kuliko Corona
May 28, 2023 03:17Takwimu rasmi zinaonesha kuwa, mgogoro wa nishati barani Ulaya katika msimu uliopita wa baridi kali ulisababisha maafa makubwa katika bara hilo kuliko janga la Corona.
-
Mkurugenzi Mkuu wa WHO atabiri mwisho wa janga la Corona
Mar 14, 2023 22:53Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema janga la dunia nzima la ugonjwa wa Covid-19 litamalizika kufikia mwishoni mwa mwaka huu wa 2023.
-
Shirikisho la Kimataifa la Msalaba Mwekundu: Dunia haijajiandaa kwa maafa makubwa ya baadaye
Jan 30, 2023 22:52Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu jana ilitangaza kuwa, nchi zote duniani bado "hazijajiandaa" kukabiliana na maafa makubwa ya baadaye. Imeongeza kuwa, majanga mbalimbali ya kiafya yanaweza kuibuka kwa wakati mmoja sambamba na maafa yanayohusiana na mabadiliko yatabianchi.
-
China yarekodi vifo karibu 60,000 vinavyohusishwa na COVID-19
Jan 15, 2023 03:29China imesema watu karibu 60,000 waliaga dunia kutokana na ugonjwa wa COVID-19 katika kipindi cha mwezi mmoja, huku nchi hiyo ikakabiliana na wimbi jipya la maambukizi ya ugonjwa huo.
-
Watu 5,000 wanaaga dunia kila siku China kutokana na spishi mpya ya Corona
Dec 24, 2022 02:41China imeingia katika wimbi jipya la maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19, kutokana na spishi ndogo ya BF.7 inayotokana na spishi ya Omicron BA. 5 ya virusi vya Corona.
-
WHO: Corona ilisababisha vifo 63,000 zaidi vya malaria 2021
Dec 09, 2022 22:53Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuvurugika utoaji wa huduma za afya kutokana na janga la Corona kulipelekea kuongezeka vifo vya wagonjwa wa malaria duniani mwaka jana 2021.
-
WHO: Ulaya inaingia katika wimbi jipya la maambukizi ya COVID-19
Oct 13, 2022 07:21Shirika la Afya Duniani (WHO) na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Ulaya (ECDC) zimeonya kuhusu ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 katika nchi za Ulaya, katika kile kilichotajwa ni wimbi jipya la msambao wa maradhi hayo barani humo.