-
Ni suluhu au ushindani wa kiuchumi? Kongo, Rwanda na maslahi ya kimkakati ya Marekani
Apr 28, 2025 02:22Mawaziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda wametia saini makubaliano ya kimsingi ya amani, kwa upatanishi wa Marekani.
-
Kagame azihutubu nchi zinazoiwekea Rwanda vikwazo: Nendeni kuzimu
Apr 08, 2025 06:55Rais Paul Kagame wa Rwanda amezikosoa vikali nchi ambazo hivi karibuni zilitangaza kuiwekea Kigali vikwazo kutokana na mgogoro wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Rwanda yapiga marufuku mashirika, asasi kushirikiana na Ubelgiji
Mar 28, 2025 07:24Serikali ya Rwanda imeyapiga marufuku mashirika yote ya kimataifa na ya kitaifa yasiyo ya kiserikali (NGOs) na mashirika yanayofanya kazi nchini humo kushirikiana na serikali ya Ubelgiji na mashirika yake tanzu.
-
Rwanda yakaribisha uamuzi wa waasi wa M23 kuondoka katika mji wa Walikale
Mar 24, 2025 08:05Viongozi wa Rwanda wamekaribisha hatua ya waasi wa M23 ya kuondoka katika mji wa kistratejia na wenye utajiri wa madini wa Walikale na kukaribisha pia juhudi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kusitisha uhasama katika mzozo unaoendelea mashariki mwa nchi hiyo.
-
Kagame akosoa kimya cha Magharibi kuhusu FDLR; aisuta Ubelgiji
Mar 17, 2025 11:41Rais wa Rwanda, Paul Kagame amezikosoa vikali nchi za Magharibi kwa kueneza 'simulizi potofu' kwamba Kigali inawaunga mkono waasi wa M23 huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kwa nini Rwanda imeitaka Uingereza iilipe fidia?
Mar 07, 2025 10:34Suala la madai ya Rwanda ya fidia ya pauni milioni 50 kutoka kwa Uingereza kwa kuacha mpango wa kuwafukuza wakimbizi haramu nchini humo sasa limekuwa kadhia tata na ngumu kati ya nchi hizo mbili.
-
Mzozo wa DRC: Bunge la Rwanda lalaani azimio la EU dhidi yake
Feb 22, 2025 11:58Bunge la Rwanda limekosoa vikali azimio lililopasishwa hivi karibuni na Bunge la Ulaya, likidai kuwa Rwanda linahusika na mzozo na machafuko yanayoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Rwanda: Vikwazo vya Marekani si halali, havina msingi wowote
Feb 21, 2025 07:11Serikali ya Kigali imelaani vikali hatua ya Wizara ya Hazina (Fedha) ya Marekani ya kumwekea vikwazo Waziri wa Utangamano wa Kieneo wa Rwanda, Jenerali (Mstaafu) James Kabarebe, kwa tuhuma za kuhusika na mzozo na machafuko yanayoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kongo yapiga marufuku ndege kutoka Rwanda
Feb 13, 2025 02:52Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefunga anga yake kwa ndege zote za kiraia na za serikali zilizosajiliwa au zile makazi yake nchini Rwanda.
-
Mgonjwa 'wa mwisho' wa Marburg Rwanda aruhusiwa kuondoka hospitalini
Nov 10, 2024 06:51Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema zaidi ya mwezi mmoja baada ya Rwanda kutangaza mripuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg, hatimaye mamlaka ya afya katika nchi hiyo ya Kiafrika imemruhusu mgonjwa wa mwisho kuondoka hospitalini.