-
Kongo yapiga marufuku ndege kutoka Rwanda
Feb 13, 2025 02:52Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefunga anga yake kwa ndege zote za kiraia na za serikali zilizosajiliwa au zile makazi yake nchini Rwanda.
-
Mgonjwa 'wa mwisho' wa Marburg Rwanda aruhusiwa kuondoka hospitalini
Nov 10, 2024 06:51Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema zaidi ya mwezi mmoja baada ya Rwanda kutangaza mripuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg, hatimaye mamlaka ya afya katika nchi hiyo ya Kiafrika imemruhusu mgonjwa wa mwisho kuondoka hospitalini.
-
Rwanda yazindua kampeni ya chanjo ya Marburg
Oct 07, 2024 02:20Rwanda imeanza kutoa dozi za chanjo ya virusi vya Marburg ili kujaribu kudhibiti mripuko wa ugonjwa huo unaofanana na Ebola katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
WHO kuisaidia Rwanda kukabiliana na mripuko wa kwanza wa Marburg
Sep 30, 2024 02:25Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitaka jamii ya kimataifa ishirikiane na Rwanda katika kupambana na mripuko wa kwanza wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Marburg (MVD).
-
Rais wa Kongo ataka Rwanda iwekewe vikwazo kwa hatua yake ya kuwaunga mkono waasi wa M23
Sep 26, 2024 11:28Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameitaka jamii ya kimataifa kuiwekea Rwanda vikwazo kwa tuhuma za kuliunga mkono kundi la waasi la M23.
-
Rais Kagame ahifadhi kiti chake, ashinda uchaguzi kwa 99%
Jul 16, 2024 07:20Matokeo ya awali ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Rwanda (NEC) yanaonyesha kuwa, Rais Paul Kagame yuko kifua mbele kwa kuzoa asilimia 99.15 ya kura zilizopigwa katika uchaguzi wa rais uliofanyika jana Jumatatu.
-
DRC: Askari wa UN kutoondoka kutokana na 'uvamizi' wa Rwanda
Jul 14, 2024 06:48Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) huenda kikalazimika kuakhirisha mpango wa kuwaondoa wanajeshi wake katika mkoa unaokumbwa na vita wa Kivu Kaskazini kutokana na kuwepo kwa askari wa Rwanda mashariki mwa DRC.
-
Rwanda: Tumezingatia nia ya Uingereza ya kusitisha mpango tata wa uhamiaji
Jul 09, 2024 07:35Rwanda jana ilisema kuwa imetilia maanani nia ya serikali ya Uingereza ya kusimamisha mpango tata wa uhamiaji ambao ulisainiwa na nchi mbili hizo kwa lengo la kuwazuia wahamiaji haramu kuingia Uingereza kupitia mfereji wa maji unaozitenganisha nchi mbili za Uingereza na Ufaransa kwa kutumia boti ndogo za usafiri.
-
Ripoti ya UN: Wanajeshi wa Rwanda wanapigana pamoja na waasi wa M23 huko Kongo
Jul 09, 2024 02:26Ripoti ya karibuni iya Umoja wa Mataifa imefichua kuwa kati ya wanajeshi 3,000 hadi 4,000 wa Rwanda wanapigana bega kwa bega na waasi wa kundi la M23 huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huku Kigali ikiongoza pakubwa oparesheni za kundi hilo.
-
Rwanda yachapisha orodha ya mwisho ya wagombea 3 wa urais na zaidi ya wagombea 500 wa ubunge
Jun 16, 2024 06:11Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Rwanda imetangtaza orodha ya mwisho ya wagombeaji wa uchaguzi wa rais na wabunge uliopangwa kufanyika mwezi ujao.