-
Afrika CDC: Janga la Corona bado ni tishio kwa bara la Afrika
Sep 16, 2022 04:00Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (Africa CDC) amesema ugonjwa wa COVID-19 bado ni tishio kwa nchi za Afrika, kwa kuzingatia idadi ndogo ya watu waliopiga chanjo za kukabiliana na maradhi hayo barani humo.
-
WHO: Corona haijamalizika, nchi zichukue hatua madhubuti kukabiliana nayo
Aug 19, 2022 10:57Shirika la Afya Duniani WHO limesema kuhusiana na msambao wa kirusi cha corona kuwa, usambaaji wa kirusi hicho haujamalizika na kwamba nchi duniani zinapaswa kuchukua hatua madhubuti za kukabiliana nacho.
-
Lancet: Yumkini virusi vya Covid-19 vilitokea katika maabara Marekani
Jul 02, 2022 03:00Jarida mashuhuri la masuala ya tiba na afya la The Lancet limesema virusi hatari vya Corona ambavyo vimeshaua mamilioni ya watu kote duniani vilizalishwa kwenye maabara, na wala havikuanza tu peke yake.
-
Rais wa Somalia apatwa na COVID-19 baada ya kuitembelea Imarati
Jun 25, 2022 11:51Rais wa Somalia amesema amejiweka karantini baada ya kugundua kuwa ameambukizwa ugonjwa wa COVID-19.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani apata corona
May 05, 2022 06:47Matokeo ya vipimo vya corona yanaonyesha kuwa Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameambukizwa maradhi ya Covid-19.
-
Watoto 270,000 wameambukizwa Corona ndani ya mwezi mmoja Marekani
Mar 23, 2022 02:42Watoto 270,000 wameambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.
-
Utafiti: Vifo vya Corona duniani ni mara tatu zaidi ya ilivyoripotiwa
Mar 11, 2022 08:05Utafiti mpya umefichua kuwa, vifo vilivyosababishwa na ugonjwa wa Covid-19 kote duniani ni mara tatu zaidi vifo vilivyoripotiwa rasmi.
-
Iran ni moja ya nchi zilizofanikiwa sana kupambana na corona
Mar 05, 2022 07:36Waziri wa Afya wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ni moja ya nchi kumi zilizofanikiwa sana kupambana na janga la corona ulimwenguni na hayo yanaweza kuhesabiwa kuwa ni mafanikio makubwa.
-
WHO: Kesi za Corona Afrika ni mara saba zaidi ya ilivyoripotiwa
Feb 11, 2022 02:31Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kesi za maambukizi ya virusi vya Corona barani Afrika ni mara saba zaidi ya kesi zilizoripotiwa rasmi kufikia sasa katika nchi za bara hilo.
-
Simba waambukizwa Corona na wahudumu wa mbuga Afrika Kusini
Jan 20, 2022 04:26Wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Pretoria nchini Afrika Kusini wamesema simba watatu na puma wawili waliopatikana na maambukizi ya virusi vya Corona waliambukizwa na wafanyakazi wa mbuga moja ya wanyamapori nchini humo.