-
Corona imeua watu 150,000 Uingereza ndani ya mwezi mmoja
Jan 09, 2022 13:23Watu 150,000 wameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19 katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita nchini Uingereza, hiyo ikiwa ni idadi kubwa zaidi ya vifo vya maradhi hayo kuwahi kusajiliwa nchini humo tangu janga la Corona lishike kasi Machi 2020.
-
Msambao wa Corona waongezeka Mauritania, rais pia aambukizwa
Jan 08, 2022 12:29Rais Mohamed Ould Ghazouani wa Mauritania ameambukizwa ugonjwa wa Covid-19 huku maambukizi mapya ya maradhi hayo hatari yakiongezeka katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Zaidi ya Watu laki saba wengine wagunduliwa kukumbwa na corona siku moja nchini Marekani
Jan 06, 2022 12:34Data mpya zilizotolewa na serikali ya Marekani kuhusu wagonjwa wa UVIKO-19 au corona nchini humo zinaonesha kuwa, nchi hiyo ya Magharibi inaendelea kuvunja rekodi za mataifa mengine duniani kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa corona. Zaidi ya watu laki saba wengine wamepatikana wana ugonjwa huo nchni humo katika kipindi cha siku moja.
-
Marais wa Botswana, Msumbiji wajiweka karantini baada ya kuambukizwa Corona
Jan 04, 2022 07:58Rais wa Botswana, Mokgweetsi Masisi yuko kwenye karantini ya lazima baada ya kugundulika kuwa amembukizwa maradhi ya Covid-19.
-
Rais Museveni asema shule zitafunguliwa Uganda mwezi huu
Jan 01, 2022 12:38Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema kuwa, shule za nchi hiyo ambazo zilikuwa zimefungwa tokea Machi 2020 kutokana na msambao wa maradhi ya Covid-19, sasa zitafunguliwa mwezi huu wa Januari, 2022.
-
WHO: Corona imechangia kuongezeka vifo vya malaria duniani
Dec 08, 2021 02:34Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuvurugika utoaji wa huduma za afya kutokana na janga la Corona kulipelekea kuongezeka vifo vya wagonjwa wa malaria duniani mwaka jana 2020.
-
AU yapinga marufuku ya usafiri kutokana na spishi mpya ya Corona
Nov 28, 2021 11:58Umoja wa Afrika umekosoa vikali marufuku za kuzuia wasafiri kutoka nchi za kusini mwa Afrika kuelekea mataifa mengine ya dunia zilizotangazwa na nchi mbalimbali duniani hususan za Magharibi, baada ya kugunduliwa spishi mpya ya kirusi cha corona aina ya Omicron nchini Afrika Kusini.
-
Kikao cha dharura cha WHO kuchunguza spishi mpya ya corona
Nov 26, 2021 10:37Kufuatia kugunduliwa spishi mpya ya corona kwa jina B.1.1.529 Shirika la Afya Duniani who limetangaza kuwa litaandaa kikao cha dharura leo Ijumaa kwa ajili ya kuchunguza spishi hiyo.
-
Covid-19; Wasiochanja kutopewa huduma muhimu za serikali Kenya
Nov 22, 2021 12:28Wananchi wa Kenya ambao hawajapiga dozi kamili ya chanjo ya Covid-19 watanyimwa hudumu muhimu zinazotolewa na taasisi za serikali ya nchi hiyo kuanzia mwezi ujao wa Disemba.
-
WHO: Huenda watu laki 5 zaidi watakufa kwa Corona Ulaya
Nov 21, 2021 10:56Shirika la Afya Dunia (WHO) limetahadharisha kuwa, yumkini watu laki tano wakapoteza maisha katika nchi za Ulaya kutokana na ugonjwa wa COVID-19 kufikia mwezi Machi mwaka ujao, iwapo hatua za dharura hazitachukuliwa.