-
Vienna, Austria yageuzwa uwanja wa maandamano ya kupinga karantini na chanjo ya lazima ya corona
Nov 20, 2021 13:57Mji mkuu wa Austria, Vienna leo umegeuzwa uwanja wa maandamano ya kupinga uwekaji karantini kwa sababu ya ugonjwa wa Covid-19 na upigaji chanjo ya lazima ya ugonjwa huo.
-
WHO: Kesi za Corona zinapungua kila sehemu isipokuwa Ulaya
Nov 10, 2021 14:23Shirika la Afya Dunia (WHO) limeripoti kuwa, vifo vya ugonjwa wa COVID-19 vimeongezeka kwa asilimia 10 barani Ulaya katika kipindi cha wiki moja iliyopita, na kulifanya bara hilo kuwa eneo pekee duniani ambako vifo na maambukizi ya Corona yameongezeka kwa kiwango cha kutisha.
-
Iran imejitosheleza kuzalisha dawa za kukabiliana na COVID-19
Nov 09, 2021 02:29Waziri wa Afya wa Iran amesema nchi hii sasa imejitosheleza kikamilifu katika kuzalisha dawa za kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19.
-
Pfizer: Dawa yetu ya kutibu Corona inapunguza hatari ya kifo kwa 89%
Nov 06, 2021 03:24Shirika la kuzalisha dawa la Kimarekani la Pfizer limedai kuwa, kidonge kilichozalishwa na kampnu hiyo cha kutibu ugonjwa wa COVID-19 kina uwezo kupunguza hatari ya kulazwa hospitalini au hata kuaga dunia mgonjwa wa Corona kwa asilimia karibu 90.
-
Wanasheria Morocco wapinga chanjo ya lazima ya Covid-19
Oct 24, 2021 15:13Muungano wa Mawakili nchini Morocco umepinga hatua ya serikali ya kuwalazimisha wananchi kupiga chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19.
-
Watumishi wa umma ambao hawajachanja Zimbabwe kutoruhusiwa kazini
Oct 16, 2021 02:32Kuanzia Jumatatu ijayo, wafanyakazi wa serikali na watumishi wote wa umma ambao hawajapiga chanjo ya kukijikinga na ugonjwa wa COVID-19 hawataruhusiwa kuingia kazini nchini Zimbabwe.
-
Kesi za Corona barani Afrika zapungua kwa asilimia 13
Oct 08, 2021 00:49Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) kimesema bara la Afrika limeshuhudia kupungua kwa maambukizo ya ugonjwa wa COVID-19 katika kipindi cha wiki moja.
-
Kesi za Corona barani Afrika zapindukia milioni 8 na laki 3
Oct 05, 2021 08:04Kesi zilizothibitishwa za maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 katika nchi 55 za Kiafrika hadi kufikia jana Jumatatu zimepindukia watu milioni nane na laki tatu.
-
Wasiopiga chanjo wavunjisha tena rekodi ya vifo vya corona Marekani
Sep 30, 2021 06:27Idadi ya watu wanaokufa kutokana na corona nchini Marekani imekuwa ikiongezeka kila siku katika kipindi cha miezi miwili iliyopita.
-
WHO yatahadharisha kuhusu aina mpya ya maambukizi ya kirusi cha corona Afrika
Sep 24, 2021 11:38Wanasayansi na wasomi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) wametahadharisha kuhusu mambukizo mapya ya kirusi cha corona katika miezi ya mwisho ya mwaka huu barani Afrika.